Mzuka wanajamvi
Hii Familia ya Hayati Hamza siyo ya kuchekewa chekewa ni ya kulaamiwa kabisa.
Yani hadi napoandika huu uzi hawajaweka mchakato ni jinsi gani tutawapa rambirambi. Yani wakowako tu. Tunawaomba na kuwasihi waweke utaratibu ama namba Mpesa, Tigo Pesa ama Airtel Money ili rambirambi ziwafikie njia yoyote ile.
Ikifika kesho hawajafanya hivyo tutawepelekea hizi rambirambi kwa lazima na nguvu.
Punje za UGAIDI zimepandwa rasmi kwa kifo cha HAMZA. Bila kumung'unya maneno yangu nasema hivi Punje za UGAIDI zimepandwa rasmi kwa kifo cha HAMZA kwasababu ya tabia ya Hawa WASOMALI wana tabia ya kulipiza kisasi. Najiuliza kuhusu wapi HAMZA alipata mafunzo ya kijeshi maana haingekuwa rahisi akamudu kushika SMG kwa umahiri kiasi kile kwa siku ya kwanza.
1. Ukada wa CCM ilikuwa danganya toto tu ili mambo yake yasiingiliwe na serikali.
2. Misaada ya huko Makongolosi Chunya ilikuwa mbinu za kujificha kiuwekezaji kumbe yapo ya moyoni.
3. Dhuluma? Wapo wanaosema alidhulumiwa madini pale Salenda kituoni, Kada wa CCM kwanini asiende kwa kiongozi wa juu kushitaki?
4. Plan ya mauaji. Alijipanga kwa umakini wa hali ya juu. Kama ni kweli alizulumiwa madini aliapa kuua Polisi
A. Akabeba bastola
B. Akawapiga vichwani askari wawili akapora SMG zao.
C. Akamuua polisi traffic kwa SMG
D. Akamuua mlinzi kampuni binafsi ya SGA.
E. Akajeruhi wengine sita l.
F. Akaona inatosha akajitokeza na kupigwa risasi.
Mambo yote hayo ni ya mtu mzoefu katika midani za kivita. Huyu kapata wapi mafunzo?