Familia ya Hamza ni ya kulaumiwa siyo kuchekewa

Mzee naona mambo ughaibuni siyo mabaya
 
Punje za UGAIDI zimepandwa rasmi kwa kifo cha HAMZA. Bila kumung'unya maneno yangu nasema hivi Punje za UGAIDI zimepandwa rasmi kwa kifo cha HAMZA kwasababu ya tabia ya Hawa WASOMALI wana tabia ya kulipiza kisasi. Najiuliza kuhusu wapi HAMZA alipata mafunzo ya kijeshi maana haingekuwa rahisi akamudu kushika SMG kwa umahiri kiasi kile kwa siku ya kwanza.
1. Ukada wa CCM ilikuwa danganya toto tu ili mambo yake yasiingiliwe na serikali.
2. Misaada ya huko Makongolosi Chunya ilikuwa mbinu za kujificha kiuwekezaji kumbe yapo ya moyoni.
3. Dhuluma? Wapo wanaosema alidhulumiwa madini pale Salenda kituoni, Kada wa CCM kwanini asiende kwa kiongozi wa juu kushitaki?
4. Plan ya mauaji. Alijipanga kwa umakini wa hali ya juu. Kama ni kweli alizulumiwa madini aliapa kuua Polisi
A. Akabeba bastola
B. Akawapiga vichwani askari wawili akapora SMG zao.
C. Akamuua polisi traffic kwa SMG
D. Akamuua mlinzi kampuni binafsi ya SGA.
E. Akajeruhi wengine sita l.
F. Akaona inatosha akajitokeza na kupigwa risasi.

Mambo yote hayo ni ya mtu mzoefu katika midani za kivita. Huyu kapata wapi mafunzo?
 
Tofauti na rambirambi mimi pia nina mkono wao wa pongezi kwa kutuletea shujaa.

Sema na yeye angefikisha ata 10 basi watatu wachache sana lakini sina budi kumshukuru hata kwa hichi kidogo.
Duuuuh! Mungu anaona maandishi yako mkuu
 
Sarender Hamza Gold foundation,tupo hatua za mwisho mwisho kwenye usajili wa hii taasisi.
makabrasha kama yote,full makaratasi,mihuli mipeni peni na mi stapler.
 
Kwa mtu kumiliki silaha na ana mgodi ni jambo la kawaida wala sio dhambi ili mradi afuate sheria.Hata Arusha tu hapo Mererani vijana wengi wanamiliki lakini kihalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…