Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,207
Reaction score
17,674
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu yoyote anayetukana au kukebehi legacy ya Magufuli kwenye nchi hii, badala yake watauachia muda ujibu maana siku zote muongo mpe muda na uongo wake utabaki hadharani.

Na ni kweli baada ya miaka 3 ya kifo cha mpendwa wao muda umeendelea kuwajibu wale wanafiki na waongo hasa kutokea Chadema. Baada ya miaka 3 bado familia ya Lisu inalishwa na wazungu na hajadhubutu kabisa kuirudisha nyumbani, Godbless Lema pia bado mke wake na watoto wanaishi kama wakimbizi Canada!
Baada ya miaka 3 wale wabunge 19 akina Mdee wameendelea na ubunge wao licha ya Mbowe kuahidi kuwatoa bungeni!

Baada ya miaka 3 ununuzi wa ndege unaendelea, ujenzi wa bwawa la mwl Nyerere na SGR unaendelea kwa kasi licha ya kupingwa na Chadema!

Baada ya miaka 3 ya kifo cha Magufuli, CCM imeendelea kushinda na kuzoa viti vyote vya udiwani hadi Pemba, Mbowe na Zito hawajaambulia chochote kwenye hizi chaguzi ndogo.

Baada ya miaka 3 , Lengai Ole Sabaya yuko huru anakula maisha uraiani baada ya mahakama kumkuta hana hatia na kesi zake zote zilikuwa za uongo. Paul Makonda ni mkuu wa mkoa wa Arusha licha ya Chadema kuahidi kumpoteza.

Baada ya miaka mitatu Mange na Kigogo wamegeuka wachochezi,wakosa adabu kwa Rais na Nape Nnauye ndiyo anahusika kuwafungia akaunti zao kwenye mitandao ya kijamii! Kumbuka Nape alikuwa mlilia uhuru wa kutoa maoni nchini. Kutoka kuitwa mashujaa wa taifa hadi kufungiwa Instagram zao, karma is karma na bado.

Baadhi ya vigogo walioshangilia kifo chake, tayari walishamfuata na kusahaulika kama walishawahi kuwa viongozi wa nchi hii kwa miaka mingi. Eg Rondo

Ama hakika muongo mpe muda na muda unaendelea kujibu na tutaona na kujifunza mengi ndani ya muda.
 
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu yoyote anayetukana au kukebehi legacy ya Magufuli kwenye nchi hii, badala yake watauachia muda ujibu maana siku zote muongo mpe muda na uongo wake utabaki hadharani.

Na ni kweli baada ya miaka 3 ya kifo cha mpendwa wao muda umeendelea kuwajibu wale wanafiki na waongo hasa kutokea Chadema. Baada ya miaka 3 bado familia ya Lisu inalishwa na wazungu na hajadhubutu kabisa kuirudisha nyumbani, Godbless Lema pia bado mke wake na watoto wanaishi kama wakimbizi Canada!
Baada ya miaka 3 wale wabunge 19 akina Mdee wameendelea na ubunge wao licha ya Mbowe kuahidi kuwatoa bungeni!

Baada ya miaka 3 ununuzi wa ndege unaendelea, ujenzi wa bwawa la mwl Nyerere na SGR unaendelea kwa kasi licha ya kupingwa na Chadema!

Baada ya miaka 3 ya kifo cha Magufuli, CCM imeendelea kushinda na kuzoa viti vyote vya udiwani hadi Pemba, Mbowe na Zito hawajaambulia chochote kwenye hizi chaguzi ndogo.

Baada ya miaka 3 , Lengai Ole Sabaya yuko huru anakula maisha uraiani baada ya mahakama kumkuta hana hatia na kesi zake zote zilikuwa za uongo. Paul Makonda ni mkuu wa mkoa wa Arusha licha ya Chadema kuahidi kumpoteza.

Ama hakika muongo mpe muda na muda unaendelea kujibu na tutaona na kujifunza mengi ndani ya muda.
Kumbe akina Mwashamba mpo mpo wengi
 
Waongo na wanafiki hasa kutokea chadema....
Jaribu kutumia akili hata kidogo.
Kuna wanafiki zaidi ya CCM?
Chadema wako against ccm sio magufuli....
Ndege hasara
Bwawa hasara
Kila kitu hasara...

Nenda kazitoe hizo hasara
 
Ficha upumbavu wako. Lengai yuko nje baada ya kukiri makosa yake kwa DPP na sio kwamba alishinda kesi. Tunafurahia mazuri ya JPM lakini haiondoi pia ukweli alikuwa na mabaya mengi ikiwamo kuwakumbatia majambazi kama Sabaya.
Oooooh.... Kumbe ukikiri makosa inakuwa si makosa tena? Hatari sana.
 
Back
Top Bottom