Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

Baada ya miaka 3 ya kifo cha Magufuli, CCM imeendelea kushinda na kuzoa viti vyote vya udiwani hadi Pemba, Mbowe na Zito hawajaambulia chochote kwenye hizi chaguzi ndogo.

Wapinzani Tanzania ni wa hovyo sana
 
Ficha upumbavu wako. Lengai yuko nje baada ya kukiri makosa yake kwa DPP na sio kwamba alishinda kesi. Tunafurahia mazuri ya JPM lakini haiondoi pia ukweli alikuwa na mabaya mengi ikiwamo kuwakumbatia majambazi kama Sabaya.
Ukikiri makosa unaahiwa huru?

Siasa yenu hovyo sana
 
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu yoyote anayetukana au kukebehi legacy ya Magufuli kwenye nchi hii, badala yake watauachia muda ujibu maana siku zote muongo mpe muda na uongo wake utabaki hadharani.

Na ni kweli baada ya miaka 3 ya kifo cha mpendwa wao muda umeendelea kuwajibu wale wanafiki na waongo hasa kutokea Chadema. Baada ya miaka 3 bado familia ya Lisu inalishwa na wazungu na hajadhubutu kabisa kuirudisha nyumbani, Godbless Lema pia bado mke wake na watoto wanaishi kama wakimbizi Canada!
Baada ya miaka 3 wale wabunge 19 akina Mdee wameendelea na ubunge wao licha ya Mbowe kuahidi kuwatoa bungeni!

Baada ya miaka 3 ununuzi wa ndege unaendelea, ujenzi wa bwawa la mwl Nyerere na SGR unaendelea kwa kasi licha ya kupingwa na Chadema!

Baada ya miaka 3 ya kifo cha Magufuli, CCM imeendelea kushinda na kuzoa viti vyote vya udiwani hadi Pemba, Mbowe na Zito hawajaambulia chochote kwenye hizi chaguzi ndogo.

Baada ya miaka 3 , Lengai Ole Sabaya yuko huru anakula maisha uraiani baada ya mahakama kumkuta hana hatia na kesi zake zote zilikuwa za uongo. Paul Makonda ni mkuu wa mkoa wa Arusha licha ya Chadema kuahidi kumpoteza.

Ama hakika muongo mpe muda na muda unaendelea kujibu na tutaona na kujifunza mengi ndani ya muda.
Huyo kichaa wenu mwacheni apumzike wala hajaacha legacy yoyote ile.... angekua na akili corona isingemchukua.
 
Kajifunze kuhusu plea bargain badala ya kucomment upumbavu

Chawa huwa mnakuwa na hasira sana. Ni nini shida? Njaa? Wewe utakuwa wale wa vyeti fake. Ndo kutwa kucha mnalalamika. Na mkiguswa kidogo mnatokwa na povu zito jeusi. Plea Bargain hii alikuwepo Magufuli? Unaona unavyodhirisha ukilaza wako na njaa ya chakula na akili?
 
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu yoyote anayetukana au kukebehi legacy ya Magufuli kwenye nchi hii, badala yake watauachia muda ujibu maana siku zote muongo mpe muda na uongo wake utabaki hadharani.

Na ni kweli baada ya miaka 3 ya kifo cha mpendwa wao muda umeendelea kuwajibu wale wanafiki na waongo hasa kutokea Chadema. Baada ya miaka 3 bado familia ya Lisu inalishwa na wazungu na hajadhubutu kabisa kuirudisha nyumbani, Godbless Lema pia bado mke wake na watoto wanaishi kama wakimbizi Canada!
Baada ya miaka 3 wale wabunge 19 akina Mdee wameendelea na ubunge wao licha ya Mbowe kuahidi kuwatoa bungeni!

Baada ya miaka 3 ununuzi wa ndege unaendelea, ujenzi wa bwawa la mwl Nyerere na SGR unaendelea kwa kasi licha ya kupingwa na Chadema!

Baada ya miaka 3 ya kifo cha Magufuli, CCM imeendelea kushinda na kuzoa viti vyote vya udiwani hadi Pemba, Mbowe na Zito hawajaambulia chochote kwenye hizi chaguzi ndogo.

Baada ya miaka 3 , Lengai Ole Sabaya yuko huru anakula maisha uraiani baada ya mahakama kumkuta hana hatia na kesi zake zote zilikuwa za uongo. Paul Makonda ni mkuu wa mkoa wa Arusha licha ya Chadema kuahidi kumpoteza.

Ama hakika muongo mpe muda na muda unaendelea kujibu na tutaona na kujifunza mengi ndani ya muda.
Mwendazake Kama binadamu mwingine yoyote yule ana mazuri yake lakini pia ana mabaya yake, japokuwa mabaya yake ni mengi zaidi kuliko mazuri yake.
 
Gordian Magufuli kawa bilionea baada ya JPM kufariki, nadhani ndio zile hela zilikuwa zinawekwa kwenye kampuni ya ujenzi ambayo Goro aliwekeshwa kama mkurugenzi bandia, na pia uwakala wa simenti na sukari aliopewa kibabe kwa kuficha jina la JPM lisionekane.

Kabla ya hapo Gordian alikuwa anazurura na kisuzuki, na akitaka kutumia pikup nyeusi ya baba yake, lazima aombe kibali kwa JPM
 
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu yoyote anayetukana au kukebehi legacy ya Magufuli kwenye nchi hii, badala yake watauachia muda ujibu maana siku zote muongo mpe muda na uongo wake utabaki hadharani.

Na ni kweli baada ya miaka 3 ya kifo cha mpendwa wao muda umeendelea kuwajibu wale wanafiki na waongo hasa kutokea Chadema. Baada ya miaka 3 bado familia ya Lisu inalishwa na wazungu na hajadhubutu kabisa kuirudisha nyumbani, Godbless Lema pia bado mke wake na watoto wanaishi kama wakimbizi Canada!
Baada ya miaka 3 wale wabunge 19 akina Mdee wameendelea na ubunge wao licha ya Mbowe kuahidi kuwatoa bungeni!

Baada ya miaka 3 ununuzi wa ndege unaendelea, ujenzi wa bwawa la mwl Nyerere na SGR unaendelea kwa kasi licha ya kupingwa na Chadema!

Baada ya miaka 3 ya kifo cha Magufuli, CCM imeendelea kushinda na kuzoa viti vyote vya udiwani hadi Pemba, Mbowe na Zito hawajaambulia chochote kwenye hizi chaguzi ndogo.

Baada ya miaka 3 , Lengai Ole Sabaya yuko huru anakula maisha uraiani baada ya mahakama kumkuta hana hatia na kesi zake zote zilikuwa za uongo. Paul Makonda ni mkuu wa mkoa wa Arusha licha ya Chadema kuahidi kumpoteza.

Ama hakika muongo mpe muda na muda unaendelea kujibu na tutaona na kujifunza mengi ndani ya muda.
Kila ukikaa ukiwa unafikiri ati adui ya CCM au Magufulia ilikuwa Chadema au upinzani basi wewe ni bado "kinda" akili haijakomaa. Adui wakubwa wa CCM wamo humo humo CCM. Hawa Chadema na upinzani ilikuwa ni kumaliziana ghadhabu tu na kisirani.
 
Gordian Magufuli kawa bilionea baada ya JPM kufariki, nadhani ndio zile hela zilikuwa zinawekwa kwenye kampuni ya ujenzi ambayo Goro aliwekeshwa kama mkurugenzi bandia, na pia uwakala wa simenti na sukari aliopewa kibabe kwa kuficha jina la JPM lisionekane.

Kabla ya hapo Gordian alikuwa anazurura na kisuzuki, na akitaka kutumia pikup nyeusi ya baba yake, lazima aombe kibali kwa JPM

Muda utakujibu
 
Baada ya miaka mitatu mange na kigogo wamegeuka wachochezi,wakosa adabu kwa Rais. Kutoka kuitwa mashujaa wa taifa karma karma na bado

R.I.P JPM
 
Gordian Magufuli kawa bilionea baada ya JPM kufariki, nadhani ndio zile hela zilikuwa zinawekwa kwenye kampuni ya ujenzi ambayo Goro aliwekeshwa kama mkurugenzi bandia, na pia uwakala wa simenti na sukari aliopewa kibabe kwa kuficha jina la JPM lisionekane.

Kabla ya hapo Gordian alikuwa anazurura na kisuzuki, na akitaka kutumia pikup nyeusi ya baba yake, lazima aombe kibali kwa JPM
Safi sana!

Siyo nchi inakuwa na matajiri kina riz one na januari pekee!
 
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu yoyote anayetukana au kukebehi legacy ya Magufuli kwenye nchi hii, badala yake watauachia muda ujibu maana siku zote muongo mpe muda na uongo wake utabaki hadharani.

Na ni kweli baada ya miaka 3 ya kifo cha mpendwa wao muda umeendelea kuwajibu wale wanafiki na waongo hasa kutokea Chadema. Baada ya miaka 3 bado familia ya Lisu inalishwa na wazungu na hajadhubutu kabisa kuirudisha nyumbani, Godbless Lema pia bado mke wake na watoto wanaishi kama wakimbizi Canada!
Baada ya miaka 3 wale wabunge 19 akina Mdee wameendelea na ubunge wao licha ya Mbowe kuahidi kuwatoa bungeni!

Baada ya miaka 3 ununuzi wa ndege unaendelea, ujenzi wa bwawa la mwl Nyerere na SGR unaendelea kwa kasi licha ya kupingwa na Chadema!

Baada ya miaka 3 ya kifo cha Magufuli, CCM imeendelea kushinda na kuzoa viti vyote vya udiwani hadi Pemba, Mbowe na Zito hawajaambulia chochote kwenye hizi chaguzi ndogo.

Baada ya miaka 3 , Lengai Ole Sabaya yuko huru anakula maisha uraiani baada ya mahakama kumkuta hana hatia na kesi zake zote zilikuwa za uongo. Paul Makonda ni mkuu wa mkoa wa Arusha licha ya Chadema kuahidi kumpoteza.

Ama hakika muongo mpe muda na muda unaendelea kujibu na tutaona na kujifunza mengi ndani ya muda.
Hivi Mitaahira Kama hii mnaitoaga wapi???

Ila CCM wana kazi 😝😝😝
 
Na hata wale fisadi vibaraka waliyomrukia mama kama mwewe kwa furaha eti ni mtu wao na kumshauri kuwatema wanamapinduzi saa hizi wanaabika. Si muda mrefu watatemwa na umma wa wananchi na kuabika. Kama ccm inataka kuendelea kama chama cha mapinduzi shurti ni lazima kuongozwa na wanamapinduzi ili chama kibebe maslahi ya umma wa wananchi.
 
Familia ya Hayati Magufuli wala haina manung'uniko dhidi ya Chadema bali Chanzo Cha Matatizo (CCM). Maana wanajua Chadema hawajahusika kumuua Magu, ila CCM.

Hata sumu alizowahi kulishwa Magufuli akiwa Waziri, familia inajua hakulishwa na Chadema isipokuwa wale jamaa wasioachiana maji mezani.
 
Back
Top Bottom