Miaka mitatu???
Miaka mitatu tumepata maridhiano,
Miaka mitatu hajatekwa mtu,
Miaka mitatu maslahi ya wafanyakazi yameboreshwa,
Miaka mitatu tumepata tume huru ya uchaguzi.
Miaka mitatu viongozi wababewajinga wamerekebishwa.
Miaka mitatu jeshi halishurutishwi kuingilia mambo hovyo,
Miaka mitatu hakuna mpinzani aliyefungwa,
Miaka mitatu makusanyo yakodi yamepanda bila maguvu,
Miaka mitatu apinzani wameandamana kwa amani.,
Miaka mitatu elimu Bure Hadi six,
Miaka mitatu ruzuku Kwa wakulima imerudi,
Miaka mitatu vyuma havikazik,
Miaka mitatu spwika ropox2 kapigwa chini,
Miaka mitatu ma ded na ma DC hawatukanwi Pumbafu hovuo....