Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

 
Hata mkae kimya,ila ndugu yenu laana ya uchaguzi wa 2019 na 2020 inamhusu.
Na dhambi ya wizi wa kura mara nyingi ni mauti.
Habari za maendeleo alifanya vema,ila wizi WA kura, mshahara wake hata familia mmeuona.
 
Hata mkae kimya,ila ndugu yenu laana ya uchaguzi wa 2019 na 2020 inamhusu.
Na dhambi ya wizi wa kura mara nyingi ni mauti.
Habari za maendeleo alifanya vema,ila wizi WA kura, mshahara wake hata familia mmeuona.
Vipi uchaguzi wa 2024?
Nyumbu bwana
 
Mambo yameshajibu,

Magufuri hayupo ila watu wanatekwa na kuuwawa, wagombea wa upinzani wanaenguliwa kwa figisu na chaguzi zinaharibiwa maksudi na serikali ya CCM kwa kuiba kura .
 
Mambo yameshajibu, Magufuri hayupo ila watu wanatekwa na kuuwawa, wagombea wa upinzani wanaenguliwa kwa figisu na chaguzi zinaharibiwa maksudi na serikali ya CCM kwa kuiba kura .
Ni laana ya JPM hiyo.
Aliyemsababishia mauti,ameridhi mikoba yake
 
Mambo yameshajibu,

Magufuri hayupo ila watu wanatekwa na kuuwawa, wagombea wa upinzani wanaenguliwa kwa figisu na chaguzi zinaharibiwa maksudi na serikali ya CCM kwa kuiba kura .
Yeye ndiye kamuachia Mama Legacy mbaya ya kutofuata utawala wa sheria.
 
Hii ya kushinda na kuzoa viti vyote, hata lukashenko anafanya
 
Na kweli wamemuachia Mungu maana hakuna hata mmoja anayelalama.
 
MWENDAZAKE NDYE MWASISI WA SIASA CHAFU CHUKI FITINA ROHO MBAYA MAUAJI UPORAJI WA KURA UTEKAJI NA NK.HYO LEGACY AMEMWACHIA MAMA.R.I.H
 
Kwa nini ruzuku ya chama inaingia kwenye akaunti ya benki binafsi ya Mbowe? Hili ni swali ambalo wanachama wanahitaji majibu yake," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City.

Lissu alidai kuwa matumizi ya ruzuku ya Chadema yamekosa uwazi, na akahoji ni kwa nini fedha za chama zinazotolewa na serikali hazipiti moja kwa moja kwenye akaunti rasmi ya chama. "Hatuwezi kuendelea kuendesha chama kwa utaratibu usiofuata taratibu za uwajibikaji na uwazi. Wanachama wanahitaji kufahamu kila senti ya ruzuku inatumikaje," aliongeza Lissu.

Alisisitiza kuwa moja ya sababu kubwa zinazomfanya agombee nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema ni kuhakikisha chama kinarejesha misingi ya demokrasia, uwazi, na uwajibikaji. "Hatuwezi kuwa chama kinachopigania uwazi na demokrasia nchini wakati ndani ya chama kuna mambo ya kificho," alisema Lissu, huku akiungwa mkono na baadhi ya wafuasi wake waliokuwa kwenye mkutano huo.
 
Tayari Tundu Lisu na Mbowe ni paka na panya laana inawatafuna
 
Takataka kama Eric kabendera ni upuuzi mtupu
 
.....tuache muda na karma vitaamua....happy new year 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…