Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

Hapa suala lilikuwa familia ya Magufuli au kuinanga Chadema? Hoja zimekinzana sana hapo. Lakini kitu cha msingi ni kuangalia hayo yote uliyoyaorodhesha yanamsaidia vipi mtanzania wa kawaida kumudu kula yake ya siku?
 
Chadema walishangilia sana kifo cha Magufuli eti watakuwa huru, je wako huru? Msigwa amekimbizwa na nini?
 
Not only wrong, but irrelevant...
Not even...

Unaposema nimeamua kunyamaza, ( kitendo Cha kutoa tamko) tayari kinaleta mtafaruku wa maamuzi yako.

Tulieni dawa iwaingie wanafiki nyie. Siku zote mnataka muongee nyie tu, wakiongea wengine kosa!
 
Not only wrong, but irrelevant...
Not even...

Unaposema nimeamua kunyamaza, ( kitendo Cha kutoa tamko) tayari kinaleta mtafaruku wa maamuzi yako.
Naam,

Kuna story ya yule askari alijificha akijifanya kauawa, akasema "heri mimi sijasema", adui akamstukia na kumpiga hapohapo.

Kama unataka kukaa kimya, kaa kimya, usiseme unakaa kimya.
 
Bado Lisu anamwogopa Magufuli kurudisha familia na dereva wake Tanzania?

Mke wa Lema bado anafanya nini kwenye kambi za wakimbizi Canada?
 
Sasa maswali ya Lissu na Lema unaniuliza mimi kwani mimi ni Lissu au Lema?

Mimi niliwahi kusema kuwa ni msemaji wa Lissu au Lema?

Kwa nini maswali kuhusu maisha ya Lissu na Lema, maisha nisiyoyafahamu, unaniletea mimi?

Hata wewe mwenyewe unayeuliza hayo maswali kwangu unaelewa msingi wa kuniuliza maswali hayo mimi?
 
Whatever happened....kuna wakati mambo mengine yanaumiza. Na tunashindwa kuelewa kwanini.
RIEP JPM. I didn't like you but I trusted in the course of your actions
 
Sasa maswali ya Lissu na Lema unaniuliza mimi kwani mimi ni Lissu au Lema?

Mimi niliwahi kusema kuwa ni msemaji wa Lissu au Lema?

Kwa nini maswali kuhusu maisha ya Lissu na Lema, maisha nisiyoyafahamu, unaniletea mimi?

Hata wewe mwenyewe unayeuliza hayo maswali kwangu unaelewa msingi wa kuniuliza maswali hayo mimi?

Hata kama ni nyumbu lakini si una akili kidogo za kujiuliza?
 
Nyumbu ni wewe unayeniuliza maswali kuhusu maisha ya Lissu na Lema mimi, mtu ambaye siwajui hao watu na habari za maisha yao sina.

Wewe si nyumbu tu, ni nyumbu wa Lake Manyara.
 
Stiva wa twiter alitekwa na Magufuli?😂😂😂😂😂
 
Naam,

Kuna story ya yule askari alijificha akijifanya kauawa, akasema "heri mimi sijasema", adui akamstukia na kumpiga hapohapo.

Kama unataka kukaa kimya, kaa kimya, usiseme unakaa kimya.
Absolutely
Adui alipiga mkuki bila kupepesa macho.
 
Sasa maswali ya Lissu na Lema unaniuliza mimi kwani mimi ni Lissu au Lema?

Mimi niliwahi kusema kuwa ni msemaji wa Lissu au Lema?

Kwa nini maswali kuhusu maisha ya Lissu na Lema, maisha nisiyoyafahamu, unaniletea mimi?

Hata wewe mwenyewe unayeuliza hayo maswali kwangu unaelewa msingi wa kuniuliza maswali hayo mimi?
Mkuu maswali yako ni spana tosha.
 
Nyumbu ni wewe unayeniuliza maswali kuhusu maisha ya Lissu na Lema mimi, mtu ambaye siwajui hao watu na habari za maisha yao sina.

Wewe si nyumbu tu, ni nyumbu wa Lake Manyara.

Lazima tuwahoji ili kuweka hadharani ujinga wao
 
Back
Top Bottom