Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

Lazima tuwahoji ili kuweka hadharani ujinga wao
Ujinga wao nani? Unamuhoji nani?

Unamuhoji nani kuhusu ujinga wa nani?

Unaelewa kuwa mimi si Lissu wala Lema?

Unanihoji mimi kuhusu ujinga wa Lissu na Lema?

Hapa mjinga nani sasa kama si wewe?

Wewe mjinga kwa nini unanihoji mimi kuhusu huo unaousema ni ujinga wa Lissu na Lema?

Mimi ni Lissu? Mimi ni Lema?
 
Bado Lisu anamwogopa Magufuli kurudisha familia na dereva wake Tanzania?

Mke wa Lema bado anafanya nini kwenye kambi za wakimbizi Canada?
Mke wa lissu mbona yupo Tanzania miaka yote hajawahi kwenda popote.
 
Baada ya miaka mitatu, kiongozi CHADEMA aliyedai aliukataa uwaziri wa Magufuli, sasa amevaa gwanda la kijani!
 
Baada ya miaka 3 Nape na Makamba wametumbuliwa tena
 
Tayari muda umeshawajibu akina Nape, Makamba, Kinana
 
..tatizo la Magufuli lilikuwa kutoa kauli za kikatili zilizomfanya aonekane yuko karibu na genge la watekaji
 
Walisema JPM ananunua wapinzani, eee bhana eee kumbe mchungaji amenunuliwa na marehemu 😂
 
Sawa, vp sasa hv mambo yanaendaje?

..Magufuli alikuwa akifadhili genge la watekaji na wauwaji.

..Samia alipoingia alijiweka kando na kundi hilo. Lakini sasa hivi amebadilika na kuanza kufadhili utekaji.
 
naona mtoto wa nje ya ndoa wa magufuli unavyoweweseka na kifo cha mzee wako kuliko hata mama yako mwenyewe.
subiri kesi ya TIGO ndo ujue kwamba lile jamaa lilikuwa linauwa watu
limelele yooo porini chato huko
 
Hii familia kweli imetulia.
Sijui inaugulia maumivu gani??
 
Muda umejibu chadema na Act wazalendo wamekatwa nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…