TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Upo?....Yaani hao wanasheria wameona hasara ya kupoteza/kuzika pesa kuliko roho ya ivan?
Basi wamvue na suti aliyozikwa nayo na vidani vyote vya dhahabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo?....Yaani hao wanasheria wameona hasara ya kupoteza/kuzika pesa kuliko roho ya ivan?
Basi wamvue na suti aliyozikwa nayo na vidani vyote vya dhahabu.
Au wakamtetee besigyee anaonewa kila sikuuu[emoji3] [emoji3]Wanasheria wa Uganda wakatafute kazi nyingine hela ya mtu kaitunza na maiti wake wewe wawashiwa nini?
Sasa hiyo ya kaisari ulizani ni ivan?... kaisari ilimaanisha serikali so ya serikali iache kwa serikali...Hela zote ni za serikali unabisha chapisha yenye picha yako iweke mtaani umjue kaisari ni nan!..Ujinga mtupu hela ya mtu ikutoe povu?
Hata biblia inasema ya mungu mpe mungu ya kaisai mpe kaisai. Njaa zisiwafanye vichaa

Na sanduku pia lifunguliwe!!!! Yawezekana wamezika mgombaUGANDA: Mahamakama Kuu imeagiza kaburi la mfanyabiashara Ivan Semwanga lifukukuliwe kisha fedha zilizowekwa ndani zitolewe.
- Uamuzi huo umekuja baada ya Mwanasheria Tugume Gideon kuiomba Mahakama hiyo iruhusu kaburi hilo lifunguliwe.
Zaidi, soma => Familia ya Ivan matatani kwa kufukia pesa ya Uganda
![]()
Jack Pemba Alikuwepo PiaPAPAA JACK PEMBA ATAKOSA KWELI KWENYE HAO MAPEDESHEE???
Mmecheka 😀 😀Na sanduku pia lifunguliwe!!!! Yawezekana wamezika mgomba
Nilijua ni tanzania tu, kumbe kila sehemu watu wanapenda kiki.
Hao wanasheria wamekosa kazi!
Mkuu hela ni mali ya serikali na ni kosa kubwa kuitumia visivyo. Ndiyo maana yule mchina hapa kwetu alishitakiwa. Nimesahau alifanya nini, nadhani alichana noti yetu.Wanasheria wa Uganda wakatafute kazi nyingine hela ya mtu kaitunza na maiti wake wewe wawashiwa nini?
Huyo si kunatetesi yuko lupango.Pedeshee ndama mutoto ya Ng'ombe