Familia ya Ivan matatani kwa kufukia pesa ya Uganda

Mkuu
naona umeamua kuwaandikia vijana risala kwa hasira. Ila ward schools umezionea tu, huu ni umbumbumbu wao binafsi.
 
Marafiki ndiyo wameweka, halafu wanakamatwa wanafamilia?!!
 
... Na kama ni pesa ya serikali ilikuwa inafanya nini mikononi mwa RAIA?
 
Aivan anaendelea kumfunika daimondi.

Huyu sangoma hatari sana.
 
Halafu anayedai bora angesema pesa ziende hata kwa watoto yatima... naona ni kituko na wivu pia na tamaa juu.
 
Kibongo bongo ingeingia kwenye source of gvt income!!!maana sie twajijua wenyewe na akili zetu!!!
 
Wanasheria wa Uganda wakatafute kazi nyingine hela ya mtu kaitunza na maiti wake wewe wawashiwa nini?

kweli akili ni nywele.........eti hela yake!! umewaza vizuri kweli au ni udogo wa akili tu! anamjua aliyekaa na kubuni hiyo hela? nini maana ya nembo ya taifa sasa kama kila mmoja atakuwa anaamua vyake! yangekuwa makaratasi yenye picha na majina yake sidhani kama kuna ambaye angeshughulika nao. be serious bana
 
Kwani familia ndo ilitupa ile fedha kwenye kaburi? Washtakiwe waliotupa kama walifanya jinai.
 
Sasa hiyo ya kaisari ulizani ni ivan?... kaisari ilimaanisha serikali so ya serikali iache kwa serikali...Hela zote ni za serikali unabisha chapisha yenye picha yako iweke mtaani umjue kaisari ni nan!..
Kama ni pesa za govt ,huyo mtu amezipataje je nn maana ya umiliki ? Mbona nafanya resources comittment kabla sijapata hizo fedha, zile pesa zipo pale kama medium of exchange/legal tender
 
Yaani hao wanasheria wameona hasara ya kupoteza/kuzika pesa kuliko roho ya ivan?

Basi wamvue na suti aliyozikwa nayo na vidani vyote vya dhahabu.
kweli nimeamini umu ndani kuna watu bado uelewa wao ni mdogo ikiwemo ww...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…