Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Aisee hizi familia za kishua bwana sijui wanajikuta nani sijui wanajikuta nani aisee hii familia Wana hela kweli kweli na familia ya kiarabu na familia ya kikristo hawa sijui waarabu gani hawa ambao ni dini ya kikristo wameniambia niache kutembea na binti yao eti kisa mie ni muislamu na sina hadhi ya kutembea na binti yao wameniambia kama nataka nitembee na binti yao nibadilishe dini ndiyo niendeleee kutembea nae huku mipango mingine ya mahari ikiendelea na mimi sitaki kubadilisha dini lakini binti nampenda sana na nimemuambia kama vp nikutoroshe tuende mbali huko
Sasa wazazi wake wamenikomalia nikiendelea watanipeleka hela sasa binti ananitaka mimi sasa sijui nifanyeje ila huu ni ubaguzi kwani nikimuoa binti wa kikristo kuna shida gani? Huu ni ubaguzi hii Familia haina ubaguzi wa rangi ila ubaguzi wao upo kwenye dini sasa wakuu je nifanyeje?
Binti huyu wa kiarabu nampenda japo ni mkristo na yeye ananipenda ananipenda sana! Sijui nifanyeje na mimi hapa nilipangia akinikubalia tu nitapata mtaji wa kuanzisha biashara zangu niondokane na huu ugumu wa maisha kiujumla nimekubali niwe mario as longer as nakula,nashiba,nakunywa maisha yaende Tu .....