Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Uislamu ni mwepesi sana kuutekeleza apo saivi maiti inaoshwa kesho asubuhi itavikwa sanda na kusubiri kaburi likikamilika wakazike
Allah ndie hakimu wa yote haya atawafichua tu walofanya hili tukio
 
Baba mdogo wa Ally Mohamed Kibao amesema kwa mujibu wa Dini yao Mtu akifa kinachofuatia ni mazishi yake

Hivyo wao Kesho mchana watamzika Mpendwa wao Ally Mohamed Kibao

Mengine wanamwachia Allah

Soma Pia:
-Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
-Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
 
Samia anajisikiaje Kwa statement hii?
Atajisikiaje zaidi ya furaha na aibu, aliyewapa uongozi wa polisi wale ambao aliwatuma watengeneza mashitaka ya uongo ya ugaidi kwa Mbowe.
Dhahiri utendaji kazi wa polisi unaonyesha dhamira yake dhidi ya CHADEMA. Kuna viongozi wangapi wa CHADEMA waliotekwa hadi sasa hawajulikani walipo?
Ameishatoa tamko lolote?
 
Back
Top Bottom