Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

Acha kuogopa vitu vya ajabu mm ni muislamu lkn hicho kisomo hakina chochote zaidi ya ushirikina tu na wangapi wamesoma icho kisomo na hawajafanikiwa
🤣🤣Wewe huamini...

Mimi naamini ...

Ushirikina upi ?!!

Ashshirk al akbar ?
Khafi au asghar?!!

Kaa na unachokiamini....🤣
 
Naimba familia baada ya maziko wasome Kurjuan na mlengwa mkuu akiwa Peter Msigwa
 

Attachments

  • 1725891704170.jpeg
    1725891704170.jpeg
    44.3 KB · Views: 2
Uislamu ni mwepesi sana kuutekeleza apo saivi maiti inaoshwa kesho asubuhi itavikwa sanda na kusubiri kaburi likikamilika wakazike
Allah ndie hakimu wa yote haya atawafichua tu walofanya hili tukio

Kwa kweli
 
Back
Top Bottom