Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

Ulitaka postmortem itoe majibu hayo!?..mwili umepatikana leo,hayo majibu yako unayoyataka yamefanyiwa uchunguzi muda gani?..waliowaita nyumbu hawakukosea

..kwani haiwezekani waliohusika kukamatwa leo?

..wao mbona wamechukua siku moja toka kumteka mpaka kumuua Mzee wa watu?

..au wewe ulitaka walio husika wakamatwe lini?
 
..deadline ili wakishindwa tuite wachunguzi wengine.

..kutokuwepo kwa deadline ndio kumewezesha tukio kama la Lissu lisichunguzwe mpaka leo.

Inawezekana ni mambo ya makundi hasimu ndani ya team yao. Wanataka kuchafuana. Nani atamchunguza nani sasa?
 
Back
Top Bottom