johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Baba mdogo wa Ally Mohamed Kibao amesema kwa mujibu wa Dini yao Mtu akifa kinachofuatia ni mazishi yake
Hivyo wao Kesho mchana watamzika Mpendwa wao Ally Mohamed Kibao
Mengine wanamwachia Allah
Soma Pia:
-Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
-Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Hiyo sentence alipenda sana kutamka Alhaj Kighoma MalimaAllah ndo hakimu wa mwisho
Atajisikiaje zaidi ya furaha na aibu, aliyewapa uongozi wa polisi wale ambao aliwatuma watengeneza mashitaka ya uongo ya ugaidi kwa Mbowe.Samia anajisikiaje Kwa statement hii?
Ndo shida ya chadema!!
Sawa kabisaa na Mungu Ndio atahukumu.Baba mdogo wa Ally Mohamed Kibao amesema kwa mujibu wa Dini yao Mtu akifa kinachofuatia ni mazishi yake
Hivyo wao Kesho mchana watamzika Mpendwa wao Ally Mohamed Kibao
Mengine wanamwachia Allah
Soma Pia:
-Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
-Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Upumbavu wa kiccm unakusumbua!Mawazo Yako tu yakinyumbu yanakusumbua.