Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Kweli kabisa Mungu hakuumba moto bureHakika siku ya Qiyama itakuwa ndefu sana mpaka hizi kesi zote zisikilizwe ,ushahidi uletwe na kisha hukumu itoke.
Abu Huraira reported: The Prophet, peace and blessings be upon him, said, “The people will stand before the Lord of the worlds for the length of half of a day, which is like fifty thousand years. That day will be made easy for the believer like the sun lowering itself until it has set.”
Source: Musnad Abī Ya’lá 6025
Ni shetani tu anayewaza kuzika watu haraka haraka!Mbege huiwezi unajilazimisha tu vile Bei rahisi 🐼
Achana na hii mambo ya kumuachia Mungu...tunatakiwa kuchukua hatua wenyewe ndiyo Mungu atajidhihirisha kupitia sisi....tukimuachia tutaisha wote ndugu yanguOgopa sana mtu anaemwachia anaemwamini, ni fumbo kubwa sana
Wakilewa wanaropoka kama kile kipindi walisema(ga) mfumo Hauna hisia. Ni kile kipindi Wakati Dr Mvungi ameuwawa kikatili.Samia anajisikiaje Kwa statement hii?
Kwenye ajali au matukio kuna watu wanafaidika NapoNi shetani tu anayewaza kuzika watu haraka haraka!
Uchunguzi gani?..kama postmortem si imesema marehem alipigwa sana na kumwagiwa tindikali?Ni wazi hawana imani na huo uchunguzi fake.
Baba mdogo wa Ally Mohamed Kibao amesema kwa mujibu wa Dini yao Mtu akifa kinachofuatia ni mazishi yake
Hivyo wao Kesho mchana watamzika Mpendwa wao Ally Mohamed Kibao
Mengine wanamwachia Allah
Soma Pia:
-Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
-Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Uchunguzi gani?..kama postmortem si imesema marehem alipigwa sana na kumwagiwa tindikali?
Kuna kila dalili kuwa kuna ndege itapotea au kupata ajali ikiwa na kiongozi ndani"MENGINE ATAAMUA ALLAH"
Hii ni kauli nzito mno lau kama wanajua
Ulitaka daktari/postmortem useme hayo?..alipigwa na nani?
..alimwagiwa tindikali na nani?