Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Anafukuza mawaziri wanaofanya vibaya? Haya naamfukuze masauni sasaSamia anajisikiaje Kwa statement hii?
🤣🤣Wewe huamini...Acha kuogopa vitu vya ajabu mm ni muislamu lkn hicho kisomo hakina chochote zaidi ya ushirikina tu na wangapi wamesoma icho kisomo na hawajafanikiwa
Imeenda hiyo, hapo third law of motion yahusikaOgopa sana mtu anaemwachia anaemwamini, ni fumbo kubwa sana
Hii kali ni kali sana zaidi ya upanga wa moto. Wahusika wahiandae.Baba mdogo wa Ally Mohamed Kibao amesema kwa mujibu wa Dini yao Mtu akifa kinachofuatia ni mazishi yake
Hivyo wao Kesho mchana watamzika Mpendwa wao Ally Mohamed Kibao
Mengine wanamwachia Allah
Soma Pia:
-Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
-Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Uoga wko tu huo🤣🤣Wewe huamini...
Mimi naamini ...
Ushirikina upi ?!!
Ashshirk al akbar ?
Khafi au asghar?!!
Kaa na unachokiamini....🤣
Wewe jasiri baki na ujasiri wako 🤣Uoga wko tu huo
Uislamu ni mwepesi sana kuutekeleza apo saivi maiti inaoshwa kesho asubuhi itavikwa sanda na kusubiri kaburi likikamilika wakazike
Allah ndie hakimu wa yote haya atawafichua tu walofanya hili tukio