Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kabendera hayupo peke yake kwenye hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025. Fimbo ilio tumika kuuwa nyoka utupwa mbali... yes....
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Kanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la ki usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana aliyo sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho kwa familia ya Magu, nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama...
Sasa ni dhahiri shahiri list ni ndefu na itakuwa kila alie ona siri ile anasali kwa namna yake. Damu ya mtu haiendi bure itakuwa nikilio itakuwa ni huzuni nawaona wazee wanalia wakijuwa jambo kubwa lipo mbele kari ikiwa inatembea ikizima na isiwake tena... wenye machale watajitoa kupisha gharika. Mungu uwakumbuke wa Tz. Amen