milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Dr Dotto Mashaka Biteko,Naibu Waziri Mkuu, yeye anasemaje kuhusiana na kitabu cha Kabendera?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ya mzee mzima kunyata na kitaulo ucku wa manane inafurahisha na kisikitishaHizo ni pages 3 tu ndio zimewapagawisha kiasi hiki, vipi kama angeziacha ziwe vilevile pages 15 bila kuzipunguza hali ingekuwaje?
Bangi ni mmea tukufu yamkini hata yesu alikuwa anazimua kidogo kabla ya kubonga na makutanoBangi hata sisi wafuasi wake wengine tunavuta sana tu
Ile ya mzee mzima kunyata na kitaulo ucku wa manane inafurahisha na kisikitisha
Nilikuja mbio nikidhani ni mama mzaa chema ameitwa kujiunga na mwanaye!, kumbe...!Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Hata hujaelewa point niliyoandika.Akina Meena waliandika kitabu kinachofanana na Hiki....!!! Au Amazon ndiyo inakutisha? Watanzania wanawaangalia tu!
Ata idd amin walisema hivyoJPM alijua kuwanyoosha, mtu amefariki miaka lakini hadi leo wanamuota...
Bado watatoa na documentary...
Naona "yaweza kuwa" tuu, ila point za msingi sioni.Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Kwanza umeanza na logical fallacy ya ad hominem.Wewe ni mjinga sana na kilaza huna akili, yaani unafikiri kutumia makalio. Hakuna connection ya alichoandika mleta maada na hicho kitabu. Anguko la Tsar lilisababishwa na chawa, na yeye kumuona ni kijana hawezi kuongoza. Lakini pia kuna vitu vingine vingi kama kuoa mjerumani, etc. scenario hiyo Tanzania hatuna. Sisi tuna makundi ya mafisadi na wauaji ndani ya CCM, ambayo yalimuua Dkt Magufulu ambaye alikuwa mzalendo. Sasa huo ujinga wako unauletaje msg e wewe. Kwanza hata Tanzania haupo kazi kubeba box mjinga kabisa. Acheni sisi tuliopo Tanzania tuwape ukweli maana hata box tulishabeba na tukarudi bongo kushiriki kujenga nchi.
Kwa hawa Watanzania kama wa JF washabiki wa Magufuli inawezekana kabisa tukarudi kule kule.NEVER AGAIN! ... PERIOD!
Hakuna msiba wowote. Kilichosemwa na Kabendela ni uongo mtupu. Hakuna ukweli wowote. Kikundi kilichopanga kumchafua marehemu kinaamini kuwa, WA Tanzania ni wajinga na kwamba wanaweza kuamini upumbavu. Lakin Magufuli yupo mioyo ya watanzania.Na hao waliomtuma huyo mtusi kuandika huo uchafu wao wengi ni low battery. Kichaa anajenga SGR, wazima hawawezi, kichaa anajenga fly over wazima hawawezi, kichaa anajenga bwawa, la umeme wazima hawawezi. Kichaa anajenga ikulu mpya wazima hawawezi.Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
... baada ya kuonja 'JIWE FLAVOUR', mimi , kama mmoja wa mashabiki wake wa awali, sasa 'KIRANGA KOMO!' !Kwa hawa Watanzania kama wa JF washabiki wa Magufuli inawwzekana kabisa tukarudi kule kule.
Kwanza hata sasa hivi tunapigwa style ya Magufuki light.
Kutekwa tunatekwa kama enzi za Magufuli, huku tunarembukiwa macho ya Kizimkazi.
Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Unfortunately this pitter pattering is neither here nor there.... baada ya kuonja 'JIWE FLAVOUR', mimi , kama mmoja wa mashabiki wake wa awali, sasa 'KIRANGA KOMO!' !
🤣
Mkuu,Ogopa wino. Ogopa kalamu.
Watu walimkubali mwalimu sana tu, hata angetaka kutawala milele watu wangekubali tu. Leo amebaki kuzungumzwa kwenye mijadala ya kisomi kama makavazi ya mwalimu
Jiwe atakumbukwa na wajinga wengi, pindi watakapoelimika au kizazi hiki kuisha, kalamu za akina Kabendera ndo zitadetermine next generation imuoneje.
Kumbuka Baada ya awamu hii ambayo ni muendelezo wa awamu ya Jiwe kuisha, kama serikali itaamua kumpotezea Jiwe kwa kutompa promo, ataanza kusahaulika.
Nyerere alijenga reli ya TAZARA lakini leo hakuna mtu anayejali hilo
Ninyi wenye IQ hafifu ni rahisi sana kudanganywa.Swalalakulala na mafaili kitandani kama alisema mwenyewe then weaminitu.
Mambo ya kitandani nisiriya mtumwenyewe otherwise usemekama ulikuwepo kitandanikwake ukaona hayapo.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Wenzao FRELIMO wako kwenye Dripu. CCM itangoka siku si nyingi.Nchi hii hakuna wa kuitoa ccm hata kama hao wa magharibi wamewachoka