Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

Dr Dotto Mashaka Biteko,Naibu Waziri Mkuu, yeye anasemaje kuhusiana na kitabu cha Kabendera?
 
Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Nilikuja mbio nikidhani ni mama mzaa chema ameitwa kujiunga na mwanaye!, kumbe...!
P
 
Naona "yaweza kuwa" tuu, ila point za msingi sioni.

Hivi mtu akiandika au akisema ukweli kuwa wewe ni TumainiEl aka "Mtuamini Mungu", atakuwa na mkakati nawe!!??
 
Kwanza umeanza na logical fallacy ya ad hominem.

Nilipojibu point ilikuwa Watanzania wengi wamekipotezea hiki kitabu, huko FB na on the ground hata hawakizungumzii. Wanaokizungumzia ni wachache tu.

Hata hujaelewa point yangu niliyojibu kwamba kitabu cha historia ya Magufuli si lazima kieleweke au kukubalike kwa Watanzania wa leo, kwa sababu hii ni historia, imeandikwa for posterity. Kwa miaka yote ijayo.

Ndiyo nikatoa mfano wa kitabu cha "The Last Tsar" kwamba Tsar Nicholas II kauawa mwaka 1917, lakini mwaka 2024 bado watu wanaandika kitabu kuhusu maisha yake. Miaka 107 baada ya kifo cha Tsar Nicholas II.

Point hapa ni kwamba, kama kuna kitu cha kujadili, tujadili ukweli au uongo wa kitabu.

Mjadala wa kitabu kinasomwa na wangapi leo ni mjadala uliokosa kuelewa kuwa kitabu hakijaandikwa kwa watu wa leo tu. Inawezekana miaka 100 baadaye watu wakawa wanajadiliana kuhusu maisha ya Magufuli wakakisoma hiki kitabu sana hata kama watu wa keo hawakisomi.

Sasa hii mbona ni point basic tu ya kusema "history is for posterity, this is not journalism"?

Hiyo point ya wazi kabisa ndiyo ya kumuita mtu mjinga kweli?

Hapa mjinga nani kati ya mimi niliyesema kitu cha wqzi kqbisa na wewe usiyeelewa kitu hicho?
 
Hakuna msiba wowote. Kilichosemwa na Kabendela ni uongo mtupu. Hakuna ukweli wowote. Kikundi kilichopanga kumchafua marehemu kinaamini kuwa, WA Tanzania ni wajinga na kwamba wanaweza kuamini upumbavu. Lakin Magufuli yupo mioyo ya watanzania.Na hao waliomtuma huyo mtusi kuandika huo uchafu wao wengi ni low battery. Kichaa anajenga SGR, wazima hawawezi, kichaa anajenga fly over wazima hawawezi, kichaa anajenga bwawa, la umeme wazima hawawezi. Kichaa anajenga ikulu mpya wazima hawawezi.
 
Kwa hawa Watanzania kama wa JF washabiki wa Magufuli inawwzekana kabisa tukarudi kule kule.

Kwanza hata sasa hivi tunapigwa style ya Magufuki light.

Kutekwa tunatekwa kama enzi za Magufuli, huku tunarembukiwa macho ya Kizimkazi.
... baada ya kuonja 'JIWE FLAVOUR', mimi , kama mmoja wa mashabiki wake wa awali, sasa 'KIRANGA KOMO!' !
🤣
 

Ogopa wino. Ogopa kalamu.

Watu walimkubali mwalimu sana tu, hata angetaka kutawala milele watu wangekubali tu. Leo amebaki kuzungumzwa kwenye mijadala ya kisomi kama makavazi ya mwalimu

Jiwe atakumbukwa na wajinga wengi, pindi watakapoelimika au kizazi hiki kuisha, kalamu za akina Kabendera ndo zitadetermine next generation imuoneje.

Kumbuka Baada ya awamu hii ambayo ni muendelezo wa awamu ya Jiwe kuisha, kama serikali itaamua kumpotezea Jiwe kwa kutompa promo, ataanza kusahaulika.


Nyerere alijenga reli ya TAZARA lakini leo hakuna mtu anayejali hilo
 
Mkuu,

Hii point muhimu ya "history is for posterity" Watanzania wengi hawaielewi kabisa.

Unakuta kuna watu wanasema kitabu mbona kimepotezewa, watu hawakizungumzii FB na mtaani, a mere week or so after public release!

Hawaelewi tofauti ya history na journalism.

Kuna siku mwishoni mwa 2024 hapa, Dr Tibaijuka alikuwa anahojiwa na vijana wa Clouds FM kama sikosei. Akaulizwa, ana mambo mengi ya kuandika, kwa nini haandiki kitabu cha maisha yake, biography / memoirs?

Akajibu, aandike kwani nani anasoma vitabu?

Jibu lile lilinihuzunisha sana. Nilihuzunika sana kwa sababu Tibaijuka ni msomi, kasafiri sehemu nyingi duniani, ka roll kwenye diplomatic circles mpaka kuongoza taasisi za UN. It doesn't get better than that.

Lakini alivyojibu swali lile, ni kama vile akiandika kitabu kitakuwa ni kwa kizazi hiki tu, hakuelewa au alidharau ukweli kuwa history is for posterity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…