Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

Mkuu,

Hii point muhimu ya "history is for posterity" Watanzania wengi hawaielewi kabisa.

Unakuta kuna watu wanasema kitabu mbona kimepotezewa, watu hawakizungumzii FB na mtaani, a mere week or so after public release!

Hawaelewi tofauti ya history na journalism.

Kuna siku mwishoni mwa 2024 hapa, Dr Tibaijuka alikuwa anahojiwa na vijana wa Clouds FM kama sikosei. Akaulizwa, ana mambo mengi ya kuandika, kwa nini haandiki kitabu cha maisha yake, biography / memoirs?

Akajibu, aandike kwani nani anasoma vitabu?

Jibu lile lilinihuzunisha sana. Nilihuzunika sana kwa sababu Tibaijuka ni msomi, kasafiri sehemu nyingi duniani, ka roll kwenye diplomatic circles mpaka kuongoza taasisi za UN. It doesn't get better than that.

Lakini alivyojibu swali lile, ni kama vile akiandika kitabu kitakuwa ni kwa kizazi hiki tu, hakuelewa au alidharau ukweli kuwa history is for posterity.
Waafrika wengi wanafikiri leo na sio kesho
Jibu la tibaijuka linakupa picha aina viongozi walioko Afrika wanafikiria leo na sio kesho ndo maana ni ngumu umaskini kuisha
 
Back
Top Bottom