Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Hii ndio inaitwa kuwaza nje ya box, tatizo sasa hao jamaa wamekiri(li) kuhusika
 
Hii ndio inaitwa kuwaza nje ya box, tatizo sasa hao jamaa wamekiri(li) kuhusika

Tanzania uwa wanashurutishwa wakubali, Wamelazwa kwenye maji hapo wamewekwa kwenye shoti ya umeme , wamechapwa sana hata Mimi nakubali ili nitoke kwenye mateso

na husikute aliefanya hivyo keshatembeza PESA za kutosha jeshi la police case apewe mwingine
 
Halafu anakuja mtu anasema wahaya ni wabinafsi.

Binadamu hata uwafanyie Nini hawaridhiki
 
Kuna logic. Hili tukio linahitaji uchunguzi wa kina sana. Ni lini huyo anayedaiwa kuwa hawara wa marehemu alianza kuwa na uhusiano na marehemu? Kuna uthibitisho gani kwamba huyo 'hawara' kweli alikuwa 'hawara' wa marehemu? huyu anayeitwa 'hawara' wa marehemu anafanya shughuli gani? nani wa kwanza kuripoti tukio hili polisi? kwa kweli kuna maswali mengi sana sana..
 
mwanangu kuna kipindi kipo youtube kinaitwa crime patrol satark cha india kina onyesha matukio ya mauwaji na uchunguzi mpaka mhusika anakamtwa jamaa wanajua sana hata ukikubali umeuwa hawakutii hatiani mpaka wapate ushahidi
 
Kwa hiyo ni kosa lake kuuawa yeye na wanawe? Yeye ndio amesababisha haya?
Unajuaje kama alikuwa "anatembea na wanaume hovyo hovyo"?

Ni sawa na kusema mwanamke akiwa barabarani usiku akabakwa ni kosa lake.

Hizi ni hukumu zenye double standards.
Inaonekana uyo "kibenteni" alikuwa ni mchepuko wake sasa baada ya kufiwa na mume akaamua kumpandisha cheo na kuwa "boyfriend" baadae boyfriend na yeye kageuka kuwa killer.
 
Wanatupunguzia wahaya wenye hela zao mjini hawa[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…