Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Inasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
Kaona anapewa kiduchuu akataka donge zimaa!!
Hapo ukute ana ki- Evelyn Salt ndo kilikuwa kinapelekewa hizo ngawira.
 
Kuwa na heshima kwa wakubwa zako aisee kwani hujaelewa nini alichoandika. Au unadhani mayala ni rika lako?
Unaweza kuta kipindi Mayala yuko DTV Dogo bado hajazaliwa,au kazaliwa sema bado kachanga,Sasa hivi kakua nae kajua kusoma na kuandika hadi analeta dharau kwa Wakubwa zake!!
 
Watu wavivu kusoma, huyu mwanamke hakuwa na mume, mumewe joe alishafariki, ila alikuwa na boyfriend ambaye hapa jina hajatajwa, ina maana boyfriend amekula njama na mlinzi wamuue huyu dada ili wamuibie pesa
 
Huyo boyfriend anaitwa nani? RIP marehemu wanangu. ila akina mama wanaofiwa na waume zao wanapaswa kuwa makini badala ya kuvamia vamia wanaume waolewe upya basi kuliko kutafuta mabalaa kama hili. Sasa hawa malaika wawili walikosa nini yarabi?
Baada ya mila ya mke kurithiwa na ndugu wa mme kupigwa vita sana, na kisha kuitwa ni potofu, haya ndiyo matokeo yake! Sasa wajane waamue kuishi yakale au ya usasa. Maana, likujuwalo[zimwi ],halikuli likakwisha.
 
Huyu mama Kama yasemwayo Ni kweli alikosea Sana kupenda mdudu
Unaweza kuta huyu Mama alimuuwa Mumewe,ili abaki na hawara yake! Na hawara nae kaamuwa kumuwaa Mwanamke! Siku zote ubaya lazima ukurudie!!
 
I don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume
Na unaweza kuta ndg wa Mume wanaamini kabisa,kua Mke ndiyo alimuuwa ndg yao! Kind of payback thing!!
 
Tanzania uwa wanashurutishwa wakubali, Wamelazwa kwenye maji hapo wamewekwa kwenye shoti ya umeme , wamechapwa sana hata Mimi nakubali ili nitoke kwenye mateso

na husikute aliefanya hivyo keshatembeza PESA za kutosha jeshi la police case apewe mwingine
Nakupenda jinsi unavyo fikiri,I wish wwe ndiyo ungekua Mpelelezi wa kesi hii,ungeibuwa Mambo mengi sana nyuma ya mauwaji,kuanzia kifo Cha Mume,hadi mauwaji ya mke na Watoto!!
 
Watu wavivu kusoma, huyu mwanamke hakuwa na mume, mumewe joe alishafariki, ila alikuwa na boyfriend ambaye hapa jina hajatajwa, ina maana boyfriend amekula njama na mlinzi wamuue huyu dada ili wamuibie pesa
Ni moja ya hisia kuwa hivyo, lakini kuna hisia pia labda nia ni mambo ya mirathi ambayo "boyfriend" hawezi kuwemo
 
[emoji3][emoji3][emoji3] umeandika kweli ukishakuwa na watoto hasa wamekua na kubalehe ni muhimu kukituliza, maana boyfriend anaweza kuwatoa wanao bikra hivi hivi, pia dildo nazo janga k siitaota sugu, pia human touch inabaki na umuhimu wake.
Nimekuona mahali fulani, umependeza na shera lako
 
Elimu Elimu Elimu
Tatizo mamito, mtu akipata mademu humu JF anapandisha mabega na kujiona ni msomi wakati akiwa na 1 certificate ya ualimu; Diploma; bachelor ya makarai; anaiunga na Postgraduate halafu ndipo aweze kukubaliwa asome masters! Msomi huwa hajitangazi maana anajua kuwa yeye kila wakati anatafuta kuongeza elimu kwa kufanya utafiti. By the way huwezi kuwa researcher bila kufika kielimu
 
Nakupenda jinsi unavyo fikiri,I wish wwe ndiyo ungekua Mpelelezi wa kesi hii,ungeibuwa Mambo mengi sana nyuma ya mauwaji,kuanzia kifo Cha Mume,hadi mauwaji ya mke na Watoto!!
Mume wake alikufaje? Inasikitisha sana?
 
Wanawake bhana!! Mume kafariki juzi tu keshapata HAWARA hadi anajua nyumbani kwake na hela zilipo!!!! Huyo hawara anayepajua home mume kafa juzi tu lazima alikuwepo kabla. Mjane anaishi mwenyeweee na wanawe tu very selfish utakuta hapo wakwe, mawifi na mashemeji aliwakatia laini wasiguse urithi alioachiwa akaamini mlinzi na kibenten.. Matokeo yake watoto malaika wanauwawa very sad!!!

Alitakiwa afanye mambo yake mbali na familia na wanae haileti Picha nzuri
Labda ikifika muda wa kuoana na huyo mpenziwe ndio angemkaribisha nyumbani
Nimesikitika watoto hawana hatia
 
Back
Top Bottom