Kaona anapewa kiduchuu akataka donge zimaa!!Inasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
Unaweza kuta kipindi Mayala yuko DTV Dogo bado hajazaliwa,au kazaliwa sema bado kachanga,Sasa hivi kakua nae kajua kusoma na kuandika hadi analeta dharau kwa Wakubwa zake!!Kuwa na heshima kwa wakubwa zako aisee kwani hujaelewa nini alichoandika. Au unadhani mayala ni rika lako?
Mwanaume lazima ushike simu ya wife muda wowote ule nafsi yako ikukwambia fanya hivyo!!Unashikaje simu ya mkeo!!??
Huo si uanaume mkuu.
Baada ya mila ya mke kurithiwa na ndugu wa mme kupigwa vita sana, na kisha kuitwa ni potofu, haya ndiyo matokeo yake! Sasa wajane waamue kuishi yakale au ya usasa. Maana, likujuwalo[zimwi ],halikuli likakwisha.Huyo boyfriend anaitwa nani? RIP marehemu wanangu. ila akina mama wanaofiwa na waume zao wanapaswa kuwa makini badala ya kuvamia vamia wanaume waolewe upya basi kuliko kutafuta mabalaa kama hili. Sasa hawa malaika wawili walikosa nini yarabi?
Unaweza kuta huyu Mama alimuuwa Mumewe,ili abaki na hawara yake! Na hawara nae kaamuwa kumuwaa Mwanamke! Siku zote ubaya lazima ukurudie!!Huyu mama Kama yasemwayo Ni kweli alikosea Sana kupenda mdudu
Na unaweza kuta ndg wa Mume wanaamini kabisa,kua Mke ndiyo alimuuwa ndg yao! Kind of payback thing!!I don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume
Nakupenda jinsi unavyo fikiri,I wish wwe ndiyo ungekua Mpelelezi wa kesi hii,ungeibuwa Mambo mengi sana nyuma ya mauwaji,kuanzia kifo Cha Mume,hadi mauwaji ya mke na Watoto!!Tanzania uwa wanashurutishwa wakubali, Wamelazwa kwenye maji hapo wamewekwa kwenye shoti ya umeme , wamechapwa sana hata Mimi nakubali ili nitoke kwenye mateso
na husikute aliefanya hivyo keshatembeza PESA za kutosha jeshi la police case apewe mwingine
Ni moja ya hisia kuwa hivyo, lakini kuna hisia pia labda nia ni mambo ya mirathi ambayo "boyfriend" hawezi kuwemoWatu wavivu kusoma, huyu mwanamke hakuwa na mume, mumewe joe alishafariki, ila alikuwa na boyfriend ambaye hapa jina hajatajwa, ina maana boyfriend amekula njama na mlinzi wamuue huyu dada ili wamuibie pesa
Usicheze na joto la Binaadamu,joto lile Mungu kajuwa kulibalance vizuri, plastic ya Mzungu itasubiri sana!!anajifariji huyo yaani nyama na plastic haviwezi kuwa na taste sawa hata dunia igeuke juu chini
Nimekuona mahali fulani, umependeza na shera lako[emoji3][emoji3][emoji3] umeandika kweli ukishakuwa na watoto hasa wamekua na kubalehe ni muhimu kukituliza, maana boyfriend anaweza kuwatoa wanao bikra hivi hivi, pia dildo nazo janga k siitaota sugu, pia human touch inabaki na umuhimu wake.
Unawatumia hao ?Yes if possible mbona wakutoa hamu wako wengi na inakuwa no attachment at all aisee.
Na kutoka walitoka zamani hao waliomuua huyo mmama?[emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tatizo mamito, mtu akipata mademu humu JF anapandisha mabega na kujiona ni msomi wakati akiwa na 1 certificate ya ualimu; Diploma; bachelor ya makarai; anaiunga na Postgraduate halafu ndipo aweze kukubaliwa asome masters! Msomi huwa hajitangazi maana anajua kuwa yeye kila wakati anatafuta kuongeza elimu kwa kufanya utafiti. By the way huwezi kuwa researcher bila kufika kielimuElimu Elimu Elimu
Mume wake alikufaje? Inasikitisha sana?Nakupenda jinsi unavyo fikiri,I wish wwe ndiyo ungekua Mpelelezi wa kesi hii,ungeibuwa Mambo mengi sana nyuma ya mauwaji,kuanzia kifo Cha Mume,hadi mauwaji ya mke na Watoto!!
Kichefu chefu sana sio kuachiwa tu mali ..hata kama uko single parenr date na wazee wenzako ...
Wanawake bhana!! Mume kafariki juzi tu keshapata HAWARA hadi anajua nyumbani kwake na hela zilipo!!!! Huyo hawara anayepajua home mume kafa juzi tu lazima alikuwepo kabla. Mjane anaishi mwenyeweee na wanawe tu very selfish utakuta hapo wakwe, mawifi na mashemeji aliwakatia laini wasiguse urithi alioachiwa akaamini mlinzi na kibenten.. Matokeo yake watoto malaika wanauwawa very sad!!!