Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Uko kwenye ovulation au? Uko heat?Alafu dereva wa Lisu amefichwa ,hawataki aulizwe chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko kwenye ovulation au? Uko heat?Alafu dereva wa Lisu amefichwa ,hawataki aulizwe chochote
Dildo zingekuwa ngumu sizingeuzwa hivo[emoji3][emoji3][emoji3] umeandika kweli ukishakuwa na watoto hasa wamekua na kubalehe ni muhimu kukituliza, maana boyfriend anaweza kuwatoa wanao bikra hivi hivi, pia dildo nazo janga k siitaota sugu, pia human touch inabaki na umuhimu wake.
Huyo boyfriend anaitwa nani? RIP marehemu wanangu. ila akina mama wanaofiwa na waume zao wanapaswa kuwa makini badala ya kuvamia vamia wanaume waolewe upya basi kuliko kutafuta mabalaa kama hili. Sasa hawa malaika wawili walikosa nini yarabi?Familia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story!
Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa!
Zaidi soma hapa
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.
Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.
“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.
“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.
View attachment 1816190
Sent using Jamii Forums mobile app
MenopauseUko kwenye ovulation au? Uko heat?
Blame it on the booze
Menopause sidhani kama wanakuaga na hamu..huyo etwege anaonekana anahamu hamuMenopause
Umewahi zijaribu? Zina ladha hv?Yaani kuna muda ukifika kwa mwanamke kitulize tu .Kama una watoto Lea tu
Uzuri wazungu wameleta plastic penis tamu hatare
Sasa angewashaje tiviii???Akili za mlinzi Buana anaua kisha unakimbia na TV pamoja na Rimoti Aiseee!!
Atakuwa msukuma huyoAkili za mlinzi Buana anaua kisha unakimbia na TV pamoja na Rimoti Aiseee!!
Nilimuona nayo shoga yangu alifiwa na mume daah ngumu Kama nyundo.sijui hata anafaidi Nini.nikamuuliza akadai haingizi ndani eti .ila akasema tamu hatare.ni mzungu thoUmewahi zijaribu? Zina ladha hv?
Kama haingizi ndan hapo NIMEKUELEWA!..inatekenya pwani ya shamu😊Nilimuona nayo shoga yangu alifiwa na mume daah ngumu Kama nyundo.sijui hata anafaidi Nini.nikamuuliza akadai haingizi ndani eti .ila akasema tamu hatare.ni mzungu tho
"Madakesi".Ni kesi ganii? Suicide?
Tunakubali kabisa ..ila unaangalia na hadhi yako...sio uokote tu watu wa hovyoHili tukio linahuzunisha sana.
Wanaomlaumu huyu mama wasisahau naye ni binadamu kufiwa hakumuondolei matamanio.
Kesho nitakutumia picha nitakuwa nae kwake ana birthday ya mwanae..Kama haingizi ndan hapo NIMEKUELEWA!..inatekenya pwani ya shamu[emoji4]
Ni sahihi wamama wana la kujifunza.Tunakubali kabisa ..ila unaangalia na hadhi yako...sio uokote tu watu wa hovyo
Atakuwa msukuma huyo
Uungwana kupita uungwana bro heshima kwako![emoji120]Wakuu imetosha naomba mniwie radhi sana, nipeni muda nipate habari yote kwa ukamilifu
My apology again kwa kutokidhi kiu yenu juu ya habari hii.. NAKIRI MAPUNGUFU!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinitumie dildo ntaingia majaribuni bure😀!maana..Kesho nitakutumia picha nitakuwa nae kwake ana birthday ya mwanae..