Familia ya Masogange yalalamika kutapeliwa pesa za rambirambi kutoka kwa Wasanii

Familia ya Masogange yalalamika kutapeliwa pesa za rambirambi kutoka kwa Wasanii

Ila jaman twenden mbele turudi nyuma,,,,bongo movie wana pesa gani zikasimamie msiba badae zikabaki wanafamilia wapewe mi Nadhan ndugu hawakuelewa michango ilitoka kwaajir ya msiba sio mtoto....
mtoto anababa yake yule waache kujilizaliza
Swali linaloumiza vichwa ni, je pesa zilikusanywa? Je zilitumika? Na kama hayo yalifanyika kwanini havkusomwa? Maana yangesomwa kusingekua na malalamiko ina maana Steve na wenzake walifanya kimya kimya bila kuwaelezea wanandugu .
 
Munaweza kumuuguza MTU kwa mda mrefu,akafa na ukamsafirisha mpaka alikozaliwa ila bado watu watakutupia lawama tu.Tukipata taarifa upande wa pili tutaelewa
Tegemea maneno ya kisanii tu, kamati ya Steve ingekua imesoma makusanyo na matumizi hili lalamiko usingesikia.
 
Marehemu alikuwa anaonyesha dola za kimarekani Instagram, inakuwaje walilie michango ya msiba? Watafute Bureau de Change tu sasa, au hawajui zilipo?
Sijui ziko wapi hizi Pesa ..

Kama hakuwekeza ndiyo basi tena.
tapatalk_1524392563005.jpeg
 
STEVE NYERERE ALISEMA PESA ZILIZOCHANGWA NI KWAAJILI YA MTOTO NA SIO NDUGU NA WAMESEMA HAWATATOA HATA SENTI TANO KUWAPA NDUGU
Ndo wosia aliouacha marehem? Kwenye post yao umeona wamesema hata marehem alipokua hai, wao ndo walikua na mtoto na wanamlea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha steve nyerere huweka booking mapema akikuona wewe huna siku mingi unavuta vuta vi siku vyako anakuibukia wodini atakaa na weeee siku mbili tatu anatumia 30000 ukishavuta anatoa tule tumachozi twake anapata watu watatu wanamsapoti steve alikuwa amekaa na marehemu siku chache za mwisho ko anajua mengi na umri wake umemjenga tumpe uhasabu wasanii michango yetu ipitie kwake, steve hyoooo anapiga 3000000 wakati alitumia 30000 tu hilo nililiona alitaka kuwa karibu na mzee majuto bahati nzuri mzee kafanyiwa wepesi
Yaani alitamani afe apige mpunga wake, kweli mjini shule[emoji16]
 
Yote haya ni kwa ajili ya buku yako baba?
Usitume tu.
Atazikwa, ameshavalishwa sanda, kashawekwa kwenye jeneza.
Mahali pa kuchimba kaburi huko kwao babake atakuwa ameshaandaa.

Vinamtosha mwanadamu kusitirika.
Usitume pls.


Maneno ya busara kama haya lakini umekula ban
 
Back
Top Bottom