mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Familia ya wamiliki wa Simba kina MO dewji wanasifika kwa ubahili na kubana matumizi kama Wapare, Familia hii inayomiliki club ya Simba huwa wakinunua wachezaji wa Bei Rahis ili kuweza kubana matumizi, hali inayopelekea ushindani na club ya yanga kuwa ndogo, kwani yanga kupitia bilionea GSM huwa na kawaida ya kununua wachezaji wa quality ya hali ya juu kwa kutumia bei za juu tofauti na familia ya kina Mo dewji.
Jana imeonekana wazi tofauti ya kifedha kati ya wamiliki wa Yanga na wamiliki wa SIMBA, KWANI Jana mdhamini wa Yanga ghalib amechanga kampeni za ccm kiasi cha bilioni 10 , huku familia nzima ya mo dewji imetoa milioni 150 , ambapo gsm amechanga mara 70 ya mchango uliotelewa na familia nzima ya Dewji.
Naanza kuamini kauli za watu wanaodai , utajiri wa Familia ya Mo Dewji ni overpriced evaluation ya thamani ya mshamba waliyonunua kifisadi serikalini, ikiwemo mashamba ya chai na mikonge, hivyo utajiri wa Mo ni assets kupitia mashamba waliyopewa na seriakli ya ccm kifisadi