Familia ya Mose Iyobo hivi mnamtafuta nini Harmorapa?

Ajiandae kuzimiwa mic kama Kiba, si unajua Diamond jealous.
 
P square waliamfata ili wafanyenae kazi wakashindwana.Hamorapa akataka dau kubwa san.
P square wameenda kujipanga tena!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama promo ndio hivi, basi ndio maana wengi hawatoki.
 
Honestly sijawahi bahatika kusikia nyimbo ya huyu mchizi hata moja,sijui naweza kuzipata wap ili nimsifie
 


Mose Iyobo na Harmorapa wapi na wapi? Harmorapa anaimba n ni mtunzi, Iyobo ni mkata nyongo na hajitambui ndiyo maana anaropoka. Aunt Ezekiel anabembeleza dushe la Iyobo lisimkimbie na ndiyo maana anasupport hata ujinga usio na kichwa wala miguu toka kwa Iyobo. In short, Iyobo na Aunt wamechoka.
 
Next week amealikwa kutumbuiza kwenye birthday ya Jlo [emoji41][emoji41]
 
Huyu dogo kashika soko la afrika mashariki na kati, ntashangaa atakae mpambanisha na hawa wasanii wa bongo huyu levo zake n kina p ddy... tena namshauri atafute baunsa mapema
Upo serious kweli? Level za hata kina Barakah hajafika
 
Kituko ni pale mwafrika mwenzako anapokuita Nyani[emoji23] [emoji23]
Hivi Mose Iyobo sindo yule mnenguaji wa Diamond[emoji23]

Kuna usemi" mwanaume anaye endesha gari la baba yake hapaswi kuzungumza mbele ya wanaume wanaomiliki baiskeli"

Harmorapa anafanya mziki, Mose Iyobo anacheza mziki ulioimbwa na wanaume wenzake, hivi nani mjanja hapa[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakojoaaaaa!!umeua!!
Sawa team Mange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…