Fred Mwakitundu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 227
- 382
Kifo cha mzee Philemon Ndesamburo au 'Ndesa pesa'kama alivyojulikana na wengi kimeiyumbsha familia yake smbsko sasa inashuhudiwa migogoro mikubwa ndani yake ikiwamo ndoa kuvunjika na kugombana wao kwa wao.
Aliyefungua pazia hilo ni Sindato ambaye alifarakana na mkewe Grace Kiwelu ambaye alikuwa mbunge wa chadema viti maalumu ambako wawili hao walishatalikiana kitambo huku Lucy Owenya ndoa yaka na Dkt. Fidei Owenya ikiponea chupu chupu baada ya usuluhishi wa wazee kufanikiwa.
Wakati hali kionekana kupoa taairfa mpya ni kwamba mfnayabaiashara Thadei Halahala amefika mbali kwa kutaka talaka kutoka kwa mkewe Ritha Ndesamburo, ambako inaelezwa kuwa mtoto huyo wa mwanasiasa mkongwe nchini kwa zaidi ya miaka mitatu haishi na mmewe hali ambayo imemfanya jamaa huyo kuomba talaka ili awe huru na aendelee na maisha yake huku mwanamke akipinga hilo.
Je unajua nini kinaendelea kwa sasa juu ya wawili hawa, tutakujuza hivi karibuni.