Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Poleni tena wafiwa. Kwa sababu Mheshimiwa Dr Ndugulile alifariki akiwa bado kazini (Mbunge) na kule WHO alikua bado hajaanza kazi, ingefaa pesa yake yote ya mafao wapewe familia yake.
Mmh. Sio fairUkifa ccm hawakupi
Wanastaili kulipwa mafao yake mpaka pale israel alipotwaa kiumbe chake na pia kwa kuzikatia sheria za nchi na kanuni za bungePoleni tena wafiwa. Kwa sababu Mheshimiwa Dr Ndugulile alifariki akiwa bado kazini (Mbunge) ingefaa pesa yake yote ya mafao wapewe familia yake.
Lazima wapewe sio ombi ni lazimaPoleni tena wafiwa. Kwa sababu Mheshimiwa Dr Ndugulile alifariki akiwa bado kazini (Mbunge) na kule WHO alikua bado hajaanza kazi, ingefaa pesa yake yote ya mafao wapewe familia yake.
Poleni tena wafiwa. Kwa sababu Mheshimiwa Dr Ndugulile alifariki akiwa bado kazini (Mbunge) na kule WHO alikua bado hajaanza kazi, ingefaa pesa yake yote ya mafao wapewe familia yake.
Haki haiendi kwa akili za kimaskini. Watapewa familia yake na utaendelea kushindia uji na mapera, upewe urithi kisa wewe ndio maskini? Babako yule?Hiyo hela wagawe kwa wananchi masikini kwa sababu familia yake haina njaa kwa sababu amekula vya kutosha hela ya wananchi.
Ndo maana kenge mtateseka sana maana ndio nyinyi kenge wadogo mnaojifanya mnapigania haki za mamba.Haki haiendi kwa akili za kimaskini. Watapewa familia yake na utaendelea kushindia uji na mapera, upewe urithi kisa wewe ndio maskini? Babako yule?
Kwani wamekataa kuwapa?Poleni tena wafiwa. Kwa sababu Mheshimiwa Dr Ndugulile alifariki akiwa bado kazini (Mbunge) na kule WHO alikua bado hajaanza kazi, ingefaa pesa yake yote ya mafao wapewe familia yake.
Watajijua wenyewe.Kwani wamekataa kuwapa?
Una uhakika hawatapewa?Mmh. Sio fair
Lewa gongo uache kutafuta kazi usubiri wabunge wafe ili uje urithi mali. Na ndugu zako uwaombee kifo ili urithi mali zao ilhali wana familia zao zinazostahili.Ndo maana kenge mtateseka sana maana ndio nyinyi kenge wadogo mnaojifanya mnapigania haki za mamba.
Hahaha 😂Lewa gongo uache kutafuta kazi usubiri wabunge wafe ili uje urithi mali. Na ndugu zako uwaombee kifo ili urithi mali zao ilhali wana familia zao zinazostahili.