DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Du jf kuna watu wakali mpaka nyumba mmeipata!!!
jana tu kuna mnyarwanda katuambia Daud Balali anakaa hapo, na kaitukana Tanzania INAUMWA na Rais wao ANAUMWA
ndipo itaamini Dunia ni kijiji
Jana kwenye twitter Daudi Balali kapigilia msumali wa mwisho, nnamnukuu:
Tanzania: a sick country, a sick president, a sick economy, a confused society and a very uncertain future. Only God can save you now.
Mwisho wa kumnukuu.



 
Kutetea uozo kweli kunahitaji moyo. Yaani mtu unakaa kutetea tuuu...unatetea hapa kunafumuka pale, unatetea pale kunafumuka huko, unatetea huko kunafumuka kuleee, duh! Halafu watetezi wenyewe wale wale kwa mtindo ule ule wakitetea uozo ule ule miaka nenda rudi ! Mtu mwenye akili hata hugutuki na kujiuliza kwa nini hao hao unawatetea kwa matendo yale yale hawaachi! Karibu sana Ritz and company, uzi hapa ni familia ya JK kuhusishwa na ESCROW, hayo mengine hata ukipayuka vipi utarudi na kuikuta mada iko pale pale...wamiliki wa Simba Trust inayoshirikiana na jizi kuu Harbinder Singh ni akina nani? Mpaka sasa tumefika ukurasa wa 24 na tunaendelea kuchimba...dunia ya leo ni tofauti sana na ya juzi na jana.

Napenda pia kutoa taarifa kwamba kama yuko mpinzani atahusishwa kwa namna yoyote ile na hii kashfa ya ESCROW, hatutamuonea haya, tutamvalia njuga hivi hivi bila kuyumba. Ripoti ya TEGETA ESCROW kama ina ukweli haitazikwa kwani ukweli hauwezi kuzikwa na anayedhani hivyo anaota ndoto ya mchana. Kujaribu kuificha ripoti hiyo ni sawa na kujaribu kuizuia tsunami, haitawezekana; kuna watu lazima watasombwa na maji tu. Long live JF!
 
Last edited by a moderator:
kampuni inaitwa SIMBA trust aafu tunadanganywa ya Australia!!!!
bora hata iliyyokuwa mechmar.
 
Nina hamu sana ya kujua zile fedha za Escrow zilizoingia Mkombozi bank ziligawiwa kwa nani......I wish tungeona vipi waligawana hako kasenti ka Ugolo.......nani kapata nani kakosa......just for records.......
 
kwa calculation za kisheria Miraji asidhubutu na mafisadi hawatamwachia hata Kama hahusiki kumpeleka Yeriko mahakamani

mengi yatabumbuluka
 
hivi wakuu,kama mnasema ccm ndio ukoo wa " panya "na kazi ya panya mwaijua kwanini mnashoboka hivyo?
na nyie gambazi wezi tu nyie mnatetea nini?
 

Asante sana mkuu,
 
Last edited by a moderator:

Nchi ya wajinga hii, hiki kizazi kitalaanika milele kisipochukua hatua za makusudi kwenye hili watu wachache hawawezi kugeuza hii nchi kama mali yao binafsi.
 

Acha washupae sisi tuko consistency hata maji hutoboa chuma yakipiga point ile ile kwa muda, hakuna mpumbavu wa kututoa kwenye msitari.
 
Acha washupae sisi tuko consistency hata maji hutoboa chuma yakipiga point ile ile kwa muda, hakuna mpumbavu wa kututoa kwenye msitari.

Hao wakata viuno wa Lumumba msipate shida kuwajibu, Liwike lisiwike kutakucha tu.

Stay tune, siku hizi tunafanya kwa vitendo.
 

hakuna contradiction mzee mwambie jamaa kama kapata nafuu huko hopkins aje nyumbani kuna kesi ya kujibu
 
Mie mbona nipo na Zitto huku tunapambana na ufisadi ESCROW ngoja takukaribisha kuna viongozi wa vyama vya siasa na wenyewe wamo.
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wameonekana katika orodha hiyo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…