DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ili kuondoa mkanganyiko ripot takukuru ipelekwe bungeni ijadiliwe
 
Yericko na bangi zake za kuvutia chooni anakuja kupotosha hoja ya ukweli huwa haiko hivyo mwambie zitto mjipange upya jk anafanya maendeleo kama haya
View attachment 200994
Kama utapewa buku saba zako leo hii ni kukuonea huruma lakini hapa huna la kusema zaidi yakuonekana wewe boya
 

sasa unajiuliza nini wakati mwanzo umetaja majina ya wamiliki wa hiyo kampuni? Acha kuchafua watu tena mbaya zaidi unamchafua mkuu wa kaya

Yericko na bangi zake za kuvutia chooni anakuja kupotosha hoja ya ukweli huwa haiko hivyo mwambie zitto mjipange upya jk anafanya maendeleo kama haya

Kuna baadhi ya members hapa Jamiiforums huwa wanakera members wenzao kwa nyakati fulani fulani tu, ila pro-CCM members wote wanakera members wenzao wote kwa nyakati zote.=Salary Slip;
 
Hoja hapa si miraji hoja ni hawa wanaotoa tuhuma bila ushahidi kutaka anayetuhumiwa ndie athibitishe. kama hujaelewa hili.....

Hivi Unachoshindwa kuelewa ni nini? Yeriko katoa tuhuma nzito,ambazo zinamchafua Miraji Kikwete mbele ya uma.Kukanusha kupitia facebook hakutoshi.Kama Yeriko ni muongo tunataka kuona Miraji anamfikisha mahakamani.

Tuhuma nzito kama hizi kujibiwa kupitia Facebook tena na mtoto wa Rais hakuna mantiki kabisa.
 
sasa unajiuliza nini wakati mwanzo umetaja majina ya wamiliki wa hiyo kampuni? Acha kuchafua watu tena mbaya zaidi unamchafua mkuu wa kaya
unajivunia kuu la kaya jizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????
 
hajafanya lolote la ajabu! hayo maendeleo ya kwenye makaratasi tu. sanasana serekali yake imefanikiwa kuiongezea IPTL miaka 20 ya unyonyaji kwa taifa. hovyooooooooooooooooo kabisa!
 

Ni nzuri rafiki maana Prof wa Kichina kapata meseji ikiwa ya moto.Na akisema ahusiki basio tumwambie iweke mezani na sisi MATOMASO tuione.Vinginevyo tumwambie unahusika.

Na kumkumbushia tu ile ya ile ya Lowassa pale mjengoni aliposema Mzee alijua transctions zote.Na hapa ukijumlisha lazima jibu lipatikane.

Kweli ukiwa Mchoyo usiwe mlafi...............
 
unajivunia kuu la kaya jizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????

Jamani kumaliza huu wizi ni kufanya kama bukinabe minipo hapa tegeta kwenye mitambo ya iptl nataka niitie moto hii mitambo yote tumalize hii kazia nahitaji sapoti naona peke yangu ni ngumu mpo tayari au story tu za kwenye net
 

mimi naamini tuhuma za yericko hazina mashiko hivyo kujibiwa kirahisi rahisi kupitia social network ndio stahiki yake. Tena ningekuwa mimi ndio miraji ningezipuuza kabisa. Ila wewe as a great thinker feel free kumuamini yericko kwa tuhuma hizo bila ushahidi.
 
Unaelewa ama ya neno "ushahidi"?

Unakomalia neno usilolijua. Wwwe kweli ni box, ndio maana unatamani ungekuwa Miraji. (Akili za mabox)
 

na huu ni uelewa wako tuu wa kufuata dead statistical details. ....kwan unafurahia nin kutoka kwenye ilo kundi la nchi maskini wakat ugumu wa maisha ndo unaongezeka siku adi kesho.???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…