Kampuni zote huanzishwa kwa mitaji kuanzia shd 1m na nyingi hazizidi 100m
Hata banks au insurance ukiangalia memorandum n articles zao utaona capital zao zipo katika maeneo hayo.
Ni kawaida ila kampuni ina ingiza working capital kubwa zaidi shughuli za biashara zinapo anza.
Mfano unafungua kampuni ya usafiri wa ndege.
Utaanzisha hio company kwa mtaji wa shs 10m lakini ukipata leseni utaingiza kama directors fedha za kununulia ndege na pia unaweza kukopa working capital kuanzia biashara.
Ndio ilivo pia kwa IPTL
Lakini wanasiasa wanadanganya watu kwa sababu ndio kazi ya siasa.
Moja ya kazi ya mwana siasa ni kusema uongo.bila ya sifa kuu hii huwezi kuwa maarufu kisiasa.
Na mara zote hawa wana siasa wa namna hii akidindoshwa kwenye ulingo wa siasa utakuta ame losti kishenzi mitaani kwani hakuna kazi anayo weza kufanya.
Hivo ili waweze ku survive ni kusema uongo na kwa vile kambare hawaoni basi humeza tu ndoana zao