Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mana JK yupo kimya aliulizwa akajibu yeye eti hajuwi kilichopo Tz alikuwa matibabuni kumbe watoto wake ndio wamekula mgao kwa kiwango hicho. ni hatari sana watanzania ni muhimu kufafanya maamuzi magumu 2015 otherwise ni hatari kubwa mbele
Kampuni zote huanzishwa kwa mitaji kuanzia shd 1m na nyingi hazizidi 100mLakini hasa hiyo kampuni ya PAP iliwekeza hiyo 6m katika shuhuli gani,mbona sipati picha vizuri mwenzenu,naomba msaada.
Kampuni zote huanzishwa kwa mitaji kuanzia shd 1m na nyingi hazizidi 100m
Hata banks au insurance ukiangalia memorandum n articles zao utaona capital zao zipo katika maeneo hayo.
Ni kawaida ila kampuni ina ingiza working capital kubwa zaidi shughuli za biashara zinapo anza.
Mfano unafungua kampuni ya usafiri wa ndege.
Utaanzisha hio company kwa mtaji wa shs 10m lakini ukipata leseni utaingiza kama directors fedha za kununulia ndege na pia unaweza kukopa working capital kuanzia biashara.
Ndio ilivo pia kwa IPTL
Lakini wanasiasa wanadanganya watu kwa sababu ndio kazi ya siasa.
Moja ya kazi ya mwana siasa ni kusema uongo.bila ya sifa kuu hii huwezi kuwa maarufu kisiasa.
Na mara zote hawa wana siasa wa namna hii akidindoshwa kwenye ulingo wa siasa utakuta ame losti kishenzi mitaani kwani hakuna kazi anayo weza kufanya.
Hivo ili waweze ku survive ni kusema uongo na kwa vile kambare hawaoni basi humeza tu ndoana zao
Kwa mantiki hii kiongozi ni kwamba, hata ma profesa na ma PhD holder wakishajiingiza kwenye siasa wanakuwa waongo pia?
Ushahidi unakwenda kuonesha kuwa hata uamuzi wa Gavana kuruhusu fedha hiyo itoke kimakosa ni baada ya kupata MEMO kutoka Katibu wa rais Bw Mbena ikisema Rais kaelekeza.
Sasa ndio nimeanza kupata picha
Wengine wameshazitumbuaNadhani mjadala sasa uwe ni namna gani ela hizi zitarudishwa bila kujali hadaa za watu wa Magogoni.