DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Inshallah Sheikh...
 

Tz ni ya kwanza kwa umaskini Duniani ww. Nchi nyingi unaona kama ziko nyuma ni taarifa za uongo tu ambazo serkar yetu inaziwakilisha kwa ma bwana zao, nchi hizo zilizowekwa hapo ni nch ambazo kila wakati zinapigana zenyewe kwa wenyewe na hii ni kwa sababu wanajitambua, ok cc wa tz tumepigana lini? mnasema nchi ya amani wakati wananchi wake maskini sana, haiingii akilini br. CCM NI ZILO KABISA HAMFAI
 
ni aibu sana Familia ya Jk Kudeal na Ufisadi....hivi TISS huwa wanafanya kazi Gan?
 
Ndiyo maana nasemaga CCM Ni ukoo wa panya yaani kila kitu mnaiba bila huruma, wenzenu hata dawa wanakosa nyie mshapiga deal!!!:A S 103:
 
Ufisadi wa Jakaya hautuhusu kwa sababu yeye anakwenda zake msoga kwa wakwere wenzake, kitu tusichokubali ni kupata lifisadi jingine ambalo limejichimbia miguu tayari na kwa miomgo kadhaa limekuwa linaishi kwa kuwadhulumu walipa kodi kodi wa nchi hii. Hili jizi la mchana kweupe EL linatakiwa kupelekwa Monduli likaishi kule hakuna tena kutafuna mpunga wa walipa kodi, halitakubalika tena pesa linakopata bila kulipa kodi sahihi na kudumaza shirika la TTCL halitakubalika kamwe.
 
Ndio maana mwezi uliopita wana familia hao walienda Australia kuweka mambo sawa. Nadhani Jamaa anataka kuweka makazi kule aishi na Kangaroo. Kitaeleweka tu.
 

TEH TEH TEH...ETI UFISADI WA JAKAYA HAUTUHUSU,huoni hata aibu kusema hivyo? ESCROW....hahaha
 
Kumbe ndio maana Kikwete anatembea na Magufuli kila anakoenda anajua kuwa ndiye atakayemfichia madhambi yake na kumlinda akitoka madarakani. Watanzania hatudanganyiki mwaka huu. Kura zetu kwa UKAWA tu
 

Umenikumbusha wimbo wa Mzee Issa Matona...sasa wamegeuka samaki walana wao kwa wao...hii dhambi hii,Mwenyenzi Mungu atalipa hata hakutuwezi sisi.
 

Lita ya petroli TSh 2,200 lita ya bia(ie 2btls) Tsh 5,000. πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Kikwete, umefanya u.h.u.n.I usiovumilika nchi hii. Ulistahili kuwa kwenye list of shame. Wewe ni mwizi. Mwanao Ridhiwani ni tajiri wa kutupwa wakati kamaliza masomo juzi tu, tena ni shahada ya kwanza tu! Familia yako imekwepua vya kutosha Escrow. Sasa na CCM inakufa mikononi mwako! Tuonee huruma baba, nchi ya kwetu sote! Si ya familia yako.
 
Tukutane oct 25,wahusika saidieni majina ya watu wengi hayaonekani ktk kujihakiki.
 
Sijawahi kusikia watuhumuwa wakikiri makosa yao hata kama ushahidi upo.huo utamaduni wa kukubali kufanya kosa ni ustaarabu ambao haupo Tanzania.
 

Umekosa choo?mbona wajinyea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…