DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nitashangaa sana endapo Kikwete ataachwa kwenye skandali hii.
 
Hahahahaa....

Makaburi sasa yako uchi..!!!
 
Uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii
 
Hivi wao walivuta ngapi wadau, wenye kumbukumbu wekeni data hapa
 
majina ya waliochukuwa Mkombozi bank hatukuona familia ya JK,musianze uzushi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…