DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
ania Limited (IPTL) has a long and chequered
history.
Our Staff Writer FAUSTINE KAPAMA revisits all court
proceedings on the matter and, in this two-part article,
reports…..
THE Independent Power Tanzania Limited (IPTL) was
formed on November 1, 1994 for the purpose of
constructing, owning and operating a power plant at
Tegeta in Dar es Salaam.
In 1995, the company entered into a Power Purchase
Agreement (PPA) with Tanzania Electric Supply
Company (Tanesco), a state owned company, for
supply of power.
Under PPA, the IPTL was to design, construct and operate the power plant to supplement Tanzania's power
supply.
The duration of the Agreement was 20 years. The power plant was under the engineering procurement and
construction contract between IPTL and Wartsila (EPC Contract). The PPA provided for conversion of the IPTL
power plant to operate on natural gas as quickly as practicable, which would reduce overall costs and improve
the profitability and efficiency of the company.
Pursuant to the PPA, the IPTL was entitled to receive certain payments from Tanesco after the commencement of
commercial operation of the power plant and assured payments for maintaining the power plant in a state of
readiness. Under the Agreement, Tanesco was also to give payments for electricity provided pursuant to a tariff
calculated to permit investors a reasonable rate of return.
The construction of the power plant was funded through a credit facility extended by a consortium of Malaysian
banks. The transaction was memorialized in a 1997 Facility Agreement between IPTL and the banks. Such
Agreement provided for a credit facility up to 105m USD.
However, it is alleged that actually only about 84m USD was drawn for construction of the plant. In IPTL,
shareholders were Mechmar Corporation (Malaysia) Berhad (Mechmar), a Malaysian firm with 70 per cent
shares while a Tanzanian company, VIP Engineering and Marketing Limited (VIP Engineering) held 30 per cent
shares therein.
The underling disputes involving IPTL date back to the year 1998 when Tanesco lodged with the International
Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) against IPTL to oppose power tariffs.
On June 22, 2001, the ICSID gave its verdict and determined, among others, that the genuine amount borrowed
by IPTL from the Banks was only USD 84.0million and not the whole amount of USD 105.0million.

Thereafter, a dispute among shareholders of IPTL emerged with VIP Engineering, the minority shareholder in
IPTL, complaining of being sidelined, mismanagement and diversion of funds by the major shareholder,
Mechmar.
Mechmar, Wartsila and other parties, without its knowledge allegedly conspired to incur unnecessary costs to
IPTL, resulting in IPTL incurring a greater debt burden than necessary and causing a higher power tariff charged
to Tanesco and higher power costs for Tanzanians.
VIP Engineering claimed that Mechmar was running IPTL exclusively for its own benefit, disposing of assets as
though it were the sole owner, and in collusion with lenders and Wartsila, allegedly foisted IPTL with debts, but
used to enrich Mechmar and its conspirators.
To protect its investments in IPTL, on 25 February 2002, VIP petitioned the High Court of Tanzania for winding
up IPTL on grounds of fraud and oppression by the majority shareholder, Mechmar. The proper notice for the
winding up proceedings was given according to law, prohibiting and making void all transfers of property,
payment, creation or renewal of debts without court's permission.
Following the dispute, VIP Engineering became suspicious that if the money payable to IPTL by Tanesco could
be paid to IPTL, then his fellow shareholder, Mechmar could defraud them.
This is because by going with the shareholder agreement, the formation of IPTL was preceded by shareholder
agreement between VIP and Mechmar in which the two agreed on the modalities they would run the company.
They agreed that VIP will be responsible of securing all the licences that will be required in order for the
company to put up the power plant that was intended to be put up after the incorporation. It was agreed that
Mechmar would be responsible for all the financing and administration and day to day management of the
company.
It means that all the management activities on the administration were to be done by Mechmar. Upon filing the
winding up petition, VIP Engineering feared that if the money is payable by Tanesco under the Power Purchase
Agreement, it could be continued to be paid to IPTL and to be handed into the hands of his opponent, Mechmar
and then Mechmar could utilize the opportunity to defraud VIP.
September 24, 2003, in a chamber application that was filed in court, VIP Engineering asked the High Court,
among other thing, that Tanesco should not pay the money to IPTL, but instead the money should be paid to an
Escrow Account that VIP Engineering sought to be established at the Bank of Tanzania.
Mechmar, in its part, in 2003 commenced proceedings in relation to enforcement of an Award requiring VIP
Engineering to discontinue the winding up proceedings that had been petitioned before the High Court of
Tanzania.
While two proceedings were in force, in 2005 well after the IPTL winding up proceedings had been commenced,
Standard Chartered Bank and Danaharta executed a Sale and Purchase Agreement with respect to the 105m
USD Facility Agreement with Malaysian banks.
On August 17, 2005, Danaharta purported to novate the IPTL debt to Standard Chartered Bank without fully
complying with all the contractual requirements of the Novation Notice, thus rendering the Novation of the IPTL
Debt to be void. Then again in 2006, there arose another dispute, this time around between Tanesco and IPTL.
Through the advice of lawyers, Tanesco had thought that it had overpaid IPTL in the sense that capital
investment or costs for the plant was overstated. As a result, whenever IPTL raises invoice, Tanesco disputed.
Following the two disputes, in 2006 was eventually agreed that an Escrow Account should be opened at the
Bank of Tanzania (BoT), all the monies payable to IPTL be deposited, pending resolution of these two disputes.
It was at that point in time the Escrow Account came to be opened at the BoT.
On October 31, 2008, the High Court of Tanzania dismissed Mechmar's petition relating to stopping winding up
proceedings for want of prosecution.
Thereafter on December 16, 2008, the High Court appointed a Provisional Liquidator of IPTL in order to
investigate the allegations of fraud, conversion of assets, corporate waste, diversion of funds and oppression by
Mechmar in IPTL.
The Provisional Liquidator of IPTL, on May 15, 2009, produced his first Interim Report, showing that Tanesco
had paid to IPTL a total of US$ 190,558,060.35 as capacity charges which should have more than fully repaidthe IPTL Debt to Banks, which had financed the project. Continues tomorrow…

Source: http://www.dailynews.co.tz/index.php/features/33795-tussle-between-iptl-tanesco-raised-power-bills

CC: Pasco
 
abda tongotongo kama wewe ndio unaweza kuita mtoto Salima na mkeo aitwe Salma hao ni watu wa mujini bana hiwezi ita hivyo nenda kafie mbali huko,muulize bosi wako kawekewa mamilioni kwenye akaunti kaminya ikishalipuliwa ndio anasema kachomekewa,imekula kwenu,Kikwete mutoto wa mujini hamumpati kijinga hivyo

Bado unasimamia msimamo wako au unaomba poo. Yaani nyie misukule hata common sense hamna. Hujui kuwa akina Riziwani, Miraji na Salama sio watoto wa Salma Kikwete!!
 
Aisee ths z bad 4 national security...! Au ndo maana mzee ameugua gafla. .na hao viongozi wa upinzani ni wakina nani.
Na mnyika naye yupo kamati ya madini vp naye alichukua mzigo au..aisee hii nchi ni balaaaaa. .!
 
mke wa freeman Mbowe kafa sasa hivi kwa kupasukiwa na vidonge vya dawa za klevya tumbo
Imagine, watoto wa JK
wanavuta 200 MILION TShs kila inapoitwa leo, Jumatatu mpaka Jumatatu,
until 2033. Hivi inaingia akirini kweli kumpelekea JK report
inayomuimplicate yeye mwenyewe moja kwa moja? Kweli tuna Usalama wa Rais
na si Usalama wa Taifa

Yaani report haipelekwi kwa Pinda kwa kuwa ''ofisi yake ilikuhusika
kwenye wizi kwa namna moja au nyingine'' lakini report hiyo inapelekwa
kwa Jakaya eti kwa kuwa yeye hajahusika kwa namna moja au nyingine, ila
ni watoto wake wawili tu ndo wamehusika. Tanzania is a tragic Country
kwa kweli!
 
Weka ushahidi wa nyaraka, haya maneno matupu hata mie ningeweza kuyatunga na kuyaandika humu JF

GeniusBrain;
Hamuogopi wala hamna soni hata kidogo. Mtu anasema maajabu ka haya weye upo tu unasema leta ushahidi?? Umemsikia akiomba kueleza mambo hayo kwa hakimu au ni humu JF?
Amesema; Serekali hii hii, iliwahi kuyakataa mengine mengi tu lakini, mwishoni tukaambiwa ni kweli. Wengine wakaanguka anguko kuu. Wengine wanalia hata leo na kisiasa hawajawahi kusikika tena.
Hili nalo, limepimwa na limeonekana kuna mahali hawakufuta midomo yao walipokuwa wanakula. Siku likitumbuka, sijui mtajificha wapi. Lakini, nyie mnaopewa hayo makombo, aibu kwenu ni msamiati mpya. Si hoja.
 
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi beach hotel oct8.2013 kuwa kiasi kilichobaki (128m au zaidi ya 200bn), PAP watalipwa kila mwezi 8bn mpaka deni kwisha.

Kampuni hii ya PAP iliyopewa tuzo hiyo ya 400bn kwa kuwekeza 6mTsh tu ni ya nan? Kwa mujibu wa nyaraka za BRELA, 50% inililiwa na Singh Sethi(singasinga) na mwanae na asilimia 50% zinamilikiwa na kampuni ya Simba Trust ya Australia.

Simba trust ni nan.? Uchunguzi umeonesha kuwa Simba trust ya Australia inamilikiwa na watu wawili ambao ni salima Kikwete na Miraji Kikwete.

Uwepo wa majina haya mawili kama wamiliki wa PAP inatafsiriwa kuwa ndio sababu kuu ya JK kuvuta miguu huku nchi ikiumia.

Kwa mkataba huu wa IPTL wa 100MW wa miaka 20 (1995_2015), umeongezwa miaka mingine 20 (2013_2033)kwa kuzalisha 500MW.

Kwa mujibu wa mkataba huu, kampuni ya PAP italipwa 400m kila siku kama capacity charges . Maana yake singasinga mwenye 50% atapata 200m kila siku. Na watoto wawili wa JK watapata kila mmoja 100m kila siku hadi 2033.

Uwepo wa familia ya JK kwenye ufisadi huu inadaiwa ndio Kinga ya wahusika ; Muhongo, werema, maswi, mramba, likwilile na hata waziri mkuu kutetea

Ushahidi unakwenda kuonesha kuwa hata uamuzi wa Gavana kuruhusu fedha hiyo itoke kimakosa ni baada ya kupata MEMO kutoka Katibu wa rais Bw Mbena ikisema Rais kaelekeza.

Na ni sababu hiyo pia baada ya Dr Hosea kuwasilisha report kwa rais, JK alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa DPP ili.wahusika wafikishwe mahakamani

KAMA
Ikiwa ni siku chache tangu Baraza la Usalama la Taifa kukutana na kupitia ripoti ya uchunguzi ya PCCB kuhusu ufisadi wa zaidi ya shilingi bilioni 200 kwenye akaunti ya Tegeta escrow Benki Kuu, Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa mkurugenzi wa PCCB Dr. Edward Hosea atamkabidhi Mh. Rais Jakaya Kikwete ripoti hiyo Jumatano ijayo kama ilivyoelekezwa na Baraza la Usalama wa Taifa.

Awali ripoti hiyo ilikuwa akabidhiwe Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lakini taarifa za ndani zinabainisha kuwa uzito wa ripoti hiyo unastahili Mkuu wa nchi mwenyewe kwani kuna maeneo ambayo Waziri Mkuu atastahili kuwajibika.
 
watoto wa baba yako. kuna Breaking News sasa hivi kwenye Tv kuwa Dr Slaa kapigwa risasi
Bado unasimamia
msimamo wako au unaomba poo. Yaani nyie misukule hata common sense
hamna. Hujui kuwa akina Riziwani, Miraji na Salama sio watoto wa Salma
Kikwete!!
 
Mkuu Yeri, asante kwa taarifa hii, ila kama huko juu umeishasema uchunguzi umekuonyesha wamiliki wa hii kampuni ni kina fulani!, huwezi tena kumalizia kwa kuuliza swali ambalo tayari uchunguzi wako umeisha lijibu!.

Hii inamaana moja tuu, ama huna uhakika na hiyo ripoti ya uchunguzi, ama unajua kabisa kuwa sii kweli, ndio sababu ya hiyo inconsistance yako!.

Lakini ikitokea ikawa ni kweli, fuatilia umri wa hao wamiliki, kama wote wamevuka the age of the majority, then sio lazima kuwa ni mali ya familia, kwa sababu mtu akiisha vuka 18, ni legal person on her/his own independent of wazazi wake!.

Kama walikuwa hawajavuka 18!, hii inamaanisha na jamaa anafuata nyanyo za mtangulizi wake, "kufanya biashara "mahali patakatifu" pale!.

Pasco

Kwa hiyo kama wamefikisha miaka 18 hawawi familia ya kikwete? poor you! Be practical Pascal, JK is involved, whether his chidren are more than 18 yrs or not It is irrelevant.
 
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi beach hotel oct8.2013 kuwa kiasi kilichobaki (128m au zaidi ya 200bn), PAP watalipwa kila mwezi 8bn mpaka deni kwisha.

Kampuni hii ya PAP iliyopewa tuzo hiyo ya 400bn kwa kuwekeza 6mTsh tu ni ya nan? Kwa mujibu wa nyaraka za BRELA, 50% inililiwa na Singh Sethi(singasinga) na mwanae na asilimia 50% zinamilikiwa na kampuni ya Simba Trust ya Australia.

Simba trust ni nan.? Uchunguzi umeonesha kuwa Simba trust ya Australia inamilikiwa na watu wawili ambao ni salima Kikwete na Miraji Kikwete.

Uwepo wa majina haya mawili kama wamiliki wa PAP inatafsiriwa kuwa ndio sababu kuu ya JK kuvuta miguu huku nchi ikiumia.

Kwa mkataba huu wa IPTL wa 100MW wa miaka 20 (1995_2015), umeongezwa miaka mingine 20 (2013_2033)kwa kuzalisha 500MW.

Kwa mujibu wa mkataba huu, kampuni ya PAP italipwa 400m kila siku kama capacity charges . Maana yake singasinga mwenye 50% atapata 200m kila siku. Na watoto wawili wa JK watapata kila mmoja 100m kila siku hadi 2033.

Uwepo wa familia ya JK kwenye ufisadi huu inadaiwa ndio Kinga ya wahusika ; Muhongo, werema, maswi, mramba, likwilile na hata waziri mkuu kutetea

Ushahidi unakwenda kuonesha kuwa hata uamuzi wa Gavana kuruhusu fedha hiyo itoke kimakosa ni baada ya kupata MEMO kutoka Katibu wa rais Bw Mbena ikisema Rais kaelekeza.

Na ni sababu hiyo pia baada ya Dr Hosea kuwasilisha report kwa rais, JK alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa DPP ili.wahusika wafikishwe mahakamani

KAMA SEHEMU YA MWANGAZA.

Napenda kuwakumbusha Watanzania, Mataifa ya Ulaya na Marekani huwa hayakurupuki kutoa shutuma, ukiona wanatoa tamko ujue wana uhakika. Walieleza juu ya meli za Iran kutumia bendera ya Tanzania, Membe alikurupuka kukanusha kama kawaida yake, baadaye ikadhihirika ni kweli.
Mataifa ya Ulaya yalitishia kusimamisha misaada kutokana na ufisadi wa Richmond, kwanza serikali ilikanusha baadaye ilidhirika kuwa ni kweli kulikuwa na wizi.

Mataifa ya Ulaya yaliwahi kuelezea ufisadi katika manunuzi ya radar, serikali ikatoa maelezo marefu kuonesha hakuna ufisadi, baadaye ikadhihirika ni kweli.

Sasa wametoa tamko kuwa hakuna msaada kutolewa kwa Tanzania mpaka waone taarifa ya CAG kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, serikali imekanusha hakuna ufisadi.

Vyombo vya habari vya Ulaya vimeeleza kuhusu kuhusika kwa serikali ya Tanzania, CCM na China katika biashara haramu ya pembe za ndovu, Membe kama kawaida yake amekurupuka kukanusha lakini mambo hayo yote yatakuja kudhihirika kuwa ni kweli kwa 100%.

Taarifa ya Escrow ipo tayari lakini yaliyomo ndani ni balaa maana ni zaidi hata ya wananchi walivyokuwa wakiitegemea.

Hii iliyopo chini ni kama tetesi lakini ni tetesi yenye uhalisia. Endeleeni kufuatilia kashfa hii kubwa inayogusa ofisi kubwa zote za nchi.
______________________________ ______________________________ ____________

Ikiwa ni siku chache tangu Baraza la Usalama la Taifa kukutana na kupitia ripoti ya uchunguzi ya PCCB kuhusu ufisadi wa zaidi ya shilingi bilioni 200 kwenye akaunti ya Tegeta escrow Benki Kuu, Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa mkurugenzi wa PCCB Dr. Edward Hosea atamkabidhi Mh. Rais Jakaya Kikwete ripoti hiyo Jumatano ijayo kama ilivyoelekezwa na Baraza la Usalama wa Taifa.

Awali ripoti hiyo ilikuwa akabidhiwe Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lakini taarifa za ndani zinabainisha kuwa uzito wa ripoti hiyo unastahili Mkuu wa nchi mwenyewe kwani kuna maeneo ambayo Waziri Mkuu atastahili kuwajibika.

Ofisi nyingine zilizohusika kwenye ufisadi huu kwa mamlaka yao ni Wizara ya Fedha, Benki Kuu, TANESCO, Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, TRA, na baadhi ya vigogo Ikulu.

RIpoti hiyo imekwenda mbali zaidi kuonesha baadhi ya majina ya watu maarufu waliojipatia fedha hizo kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, akaunti ya kampuni ya VIP Engineering katika Benki ya Mkombozi iliyopokea hela za escrow imekutwa hela nyingi zimetoka kwenda kwa Wabunge,Mawaziri Majaji, na baadhi ya watu maarufu (hii ni kwa mujibu wa benki statement ya akaunti hiyo yenye kurasa 27 kuanzia tarehe 20 Januari mpaka tarehe 14 Agosti 2014).

Baadhi ya majina ndani ya benki statement hiyo yalitumiwa pesa kupitia akaunti hiyo ni pamoja na Waziri Anna Tibaijuka, Waziri wa zamani William Ngeleja, Mwanasheria Mkuu wa zamani Andrew Chenge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi na mmoja wa Majaji wa mahakama kuu ya Tanzania Mujulizi. Katika orodha hiyo kuna Wabunge, wajumbe wa kamati ya Nishati na Madini, wote isipokuwa mmoja tu ambaye ni mtumishi mwandamizi wa zamani wa Serikali. Viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wameonekana katika orodha hiyo pia.
Juhudi kubwa zinafanywa hivi sasa kuzuia taarifa ya CAG na PCCB isikabidhiwe Bungeni kwani kama itakuwa wazi inaweza kusababisha kuibuka kwa mtikisiko mkubwa.

wale wenye uwezo mnaweza kuzama humu sio kumlaumu yericko bila uchunguzi.

https://forms.businesscreditexpress.com.au/PurchaseWizardStep1A.aspx?ID=simba#
 
Nchi ya wajinga hii, hiki kizazi kitalaanika milele kisipochukua hatua za makusudi kwenye hili watu wachache hawawezi kugeuza hii nchi kama mali yao binafsi.

Ndio sababu kuu ya kuviondoa vile vifungu vya warioba ili waendelee kujichotea
 
Hiyo gesi unayozungumzia hapa kwetu tanzania imeshaanza kutumika au unatumia akili za upande gani.

Kaka acha ushabiki je Songas ni mawe ,hii gas ya Songas ilitakiwa itumike IPTL na wajanja hawakutaka kufanya hivyo matokeo yake wanaofaidi ni viwanda kama Wazo Hill cement,sijui kwa nini Wa TZ ni wavivu wa kufikirisha akili tumekuwa kama kasuku,gas ya Songas ipo siku nyingi na mabomba yapo hadi viwandani.
 
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi beach hotel oct8.2013 kuwa kiasi kilichobaki (128m au zaidi ya 200bn), PAP watalipwa kila mwezi 8bn mpaka deni kwisha.

Kampuni hii ya PAP iliyopewa tuzo hiyo ya 400bn kwa kuwekeza 6mTsh tu ni ya nan? Kwa mujibu wa nyaraka za BRELA, 50% inililiwa na Singh Sethi(singasinga) na mwanae na asilimia 50% zinamilikiwa na kampuni ya Simba Trust ya Australia.

Simba trust ni nan.? Uchunguzi umeonesha kuwa Simba trust ya Australia inamilikiwa na watu wawili ambao ni salima Kikwete na Miraji Kikwete.

Uwepo wa majina haya mawili kama wamiliki wa PAP inatafsiriwa kuwa ndio sababu kuu ya JK kuvuta miguu huku nchi ikiumia.

Kwa mkataba huu wa IPTL wa 100MW wa miaka 20 (1995_2015), umeongezwa miaka mingine 20 (2013_2033)kwa kuzalisha 500MW.

Kwa mujibu wa mkataba huu, kampuni ya PAP italipwa 400m kila siku kama capacity charges . Maana yake singasinga mwenye 50% atapata 200m kila siku. Na watoto wawili wa JK watapata kila mmoja 100m kila siku hadi 2033.

Uwepo wa familia ya JK kwenye ufisadi huu inadaiwa ndio Kinga ya wahusika ; Muhongo, werema, maswi, mramba, likwilile na hata waziri mkuu kutetea

Ushahidi unakwenda kuonesha kuwa hata uamuzi wa Gavana kuruhusu fedha hiyo itoke kimakosa ni baada ya kupata MEMO kutoka Katibu wa rais Bw Mbena ikisema Rais kaelekeza.

Na ni sababu hiyo pia baada ya Dr Hosea kuwasilisha report kwa rais, JK alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa DPP ili.wahusika wafikishwe mahakamani

KAMA SEHEMU YA MWANGAZA.

Napenda kuwakumbusha Watanzania, Mataifa ya Ulaya na Marekani huwa hayakurupuki kutoa shutuma, ukiona wanatoa tamko ujue wana uhakika. Walieleza juu ya meli za Iran kutumia bendera ya Tanzania, Membe alikurupuka kukanusha kama kawaida yake, baadaye ikadhihirika ni kweli.
Mataifa ya Ulaya yalitishia kusimamisha misaada kutokana na ufisadi wa Richmond, kwanza serikali ilikanusha baadaye ilidhirika kuwa ni kweli kulikuwa na wizi.

Mataifa ya Ulaya yaliwahi kuelezea ufisadi katika manunuzi ya radar, serikali ikatoa maelezo marefu kuonesha hakuna ufisadi, baadaye ikadhihirika ni kweli.

Sasa wametoa tamko kuwa hakuna msaada kutolewa kwa Tanzania mpaka waone taarifa ya CAG kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, serikali imekanusha hakuna ufisadi.

Vyombo vya habari vya Ulaya vimeeleza kuhusu kuhusika kwa serikali ya Tanzania, CCM na China katika biashara haramu ya pembe za ndovu, Membe kama kawaida yake amekurupuka kukanusha lakini mambo hayo yote yatakuja kudhihirika kuwa ni kweli kwa 100%.

Taarifa ya Escrow ipo tayari lakini yaliyomo ndani ni balaa maana ni zaidi hata ya wananchi walivyokuwa wakiitegemea.

Hii iliyopo chini ni kama tetesi lakini ni tetesi yenye uhalisia. Endeleeni kufuatilia kashfa hii kubwa inayogusa ofisi kubwa zote za nchi.
______________________________ ______________________________ ____________

Ikiwa ni siku chache tangu Baraza la Usalama la Taifa kukutana na kupitia ripoti ya uchunguzi ya PCCB kuhusu ufisadi wa zaidi ya shilingi bilioni 200 kwenye akaunti ya Tegeta escrow Benki Kuu, Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa mkurugenzi wa PCCB Dr. Edward Hosea atamkabidhi Mh. Rais Jakaya Kikwete ripoti hiyo Jumatano ijayo kama ilivyoelekezwa na Baraza la Usalama wa Taifa.

Awali ripoti hiyo ilikuwa akabidhiwe Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lakini taarifa za ndani zinabainisha kuwa uzito wa ripoti hiyo unastahili Mkuu wa nchi mwenyewe kwani kuna maeneo ambayo Waziri Mkuu atastahili kuwajibika.

Ofisi nyingine zilizohusika kwenye ufisadi huu kwa mamlaka yao ni Wizara ya Fedha, Benki Kuu, TANESCO, Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, TRA, na baadhi ya vigogo Ikulu.

RIpoti hiyo imekwenda mbali zaidi kuonesha baadhi ya majina ya watu maarufu waliojipatia fedha hizo kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, akaunti ya kampuni ya VIP Engineering katika Benki ya Mkombozi iliyopokea hela za escrow imekutwa hela nyingi zimetoka kwenda kwa Wabunge,Mawaziri Majaji, na baadhi ya watu maarufu (hii ni kwa mujibu wa benki statement ya akaunti hiyo yenye kurasa 27 kuanzia tarehe 20 Januari mpaka tarehe 14 Agosti 2014).

Baadhi ya majina ndani ya benki statement hiyo yalitumiwa pesa kupitia akaunti hiyo ni pamoja na Waziri Anna Tibaijuka, Waziri wa zamani William Ngeleja, Mwanasheria Mkuu wa zamani Andrew Chenge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi na mmoja wa Majaji wa mahakama kuu ya Tanzania Mujulizi. Katika orodha hiyo kuna Wabunge, wajumbe wa kamati ya Nishati na Madini, wote isipokuwa mmoja tu ambaye ni mtumishi mwandamizi wa zamani wa Serikali. Viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wameonekana katika orodha hiyo pia.
Juhudi kubwa zinafanywa hivi sasa kuzuia taarifa ya CAG na PCCB isikabidhiwe Bungeni kwani kama itakuwa wazi inaweza kusababisha kuibuka kwa mtikisiko mkubwa.

Kwa yote kama hayatoshi majizi haya bado yanachangisha mchango wa MAABARA wakati pesa zote hizo zingeweza tatua maabara kwa shule zetu za sekondari, na watoto wetu kukaa katika madawati. Hospital zetu zingepata dawa na hata wafanyakazi wangelipwa stahili zao maana wapo wanaodai Tsh700,000/= likizo anapewa Tsh 35,000/= asafiri pamoja na familia yake. HAIKUBALIKI KAMA BWAI BWAI TU
 
Jamani someni thread muielewe. Yerico hajauliza swali pale. Lile swali liko kwenye mlolongo wa maelezo. "Simba trust ni ya nani?" Mbele yake kuna maelezo. Yaani amewarahisishia kuelewa bado hamjaelewa. Au mnazuga wajumbe. Hata kama mmetumwa kutetea jaribuni kuokoteza hoja zenye mashiko. Au angalau msome kwa umakini. Kama huna hoja ya kutetea uovu basi unazikaushia tu buku saba kwa leo. Sio lazma kila thread utokelezee kwa jili ya hiyo 7000. Mbona uzi unaeleweka tu. Bora hata walioomba uthibitisho angalau. Naamini nyote tuna akili timamu msijitie wazimu. Mnakera sana sometimes. Hata kama misukule ndo kihivyo douh! Yerico funguka mkuu. Asiyetaka atulize boli chini tujadili tulio na uchungu maanatunaumiakwa kufanywa mafala.
 
anayetuhumu haleti ushahidi lakini anayetuhumiwa akikanusha anaambiwa kakanusha kikawaida, hii sio sawa. Hivi ingeandikwa katika thread hapo kuwa mmojawapo wa wamiliki wa simba trust ni wewe ungekanusha kivipi zaidi ya hivyo alivyokanusha miraji?

Mshauri sasa huyo sjui miraji akakanushie mahakamani.. Au tungoje ripoti ichakachuliwe kwanza.?
 
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi beach hotel oct8.2013 kuwa kiasi kilichobaki (128m au zaidi ya 200bn), PAP watalipwa kila mwezi 8bn mpaka deni kwisha.

Kampuni hii ya PAP iliyopewa tuzo hiyo ya 400bn kwa kuwekeza 6mTsh tu ni ya nan? Kwa mujibu wa nyaraka za BRELA, 50% inililiwa na Singh Sethi(singasinga) na mwanae na asilimia 50% zinamilikiwa na kampuni ya Simba Trust ya Australia.

Simba trust ni nan.? Uchunguzi umeonesha kuwa Simba trust ya Australia inamilikiwa na watu wawili ambao ni salima Kikwete na Miraji Kikwete.

Uwepo wa majina haya mawili kama wamiliki wa PAP inatafsiriwa kuwa ndio sababu kuu ya JK kuvuta miguu huku nchi ikiumia.

Kwa mkataba huu wa IPTL wa 100MW wa miaka 20 (1995_2015), umeongezwa miaka mingine 20 (2013_2033)kwa kuzalisha 500MW.

Kwa mujibu wa mkataba huu, kampuni ya PAP italipwa 400m kila siku kama capacity charges . Maana yake singasinga mwenye 50% atapata 200m kila siku. Na watoto wawili wa JK watapata kila mmoja 100m kila siku hadi 2033.

Uwepo wa familia ya JK kwenye ufisadi huu inadaiwa ndio Kinga ya wahusika ; Muhongo, werema, maswi, mramba, likwilile na hata waziri mkuu kutetea

Ushahidi unakwenda kuonesha kuwa hata uamuzi wa Gavana kuruhusu fedha hiyo itoke kimakosa ni baada ya kupata MEMO kutoka Katibu wa rais Bw Mbena ikisema Rais kaelekeza.

Na ni sababu hiyo pia baada ya Dr Hosea kuwasilisha report kwa rais, JK alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa DPP ili.wahusika wafikishwe mahakamani

KAMA SEHEMU YA MWANGAZA.

Napenda kuwakumbusha Watanzania, Mataifa ya Ulaya na Marekani huwa hayakurupuki kutoa shutuma, ukiona wanatoa tamko ujue wana uhakika. Walieleza juu ya meli za Iran kutumia bendera ya Tanzania, Membe alikurupuka kukanusha kama kawaida yake, baadaye ikadhihirika ni kweli.
Mataifa ya Ulaya yalitishia kusimamisha misaada kutokana na ufisadi wa Richmond, kwanza serikali ilikanusha baadaye ilidhirika kuwa ni kweli kulikuwa na wizi.

Mataifa ya Ulaya yaliwahi kuelezea ufisadi katika manunuzi ya radar, serikali ikatoa maelezo marefu kuonesha hakuna ufisadi, baadaye ikadhihirika ni kweli.

Sasa wametoa tamko kuwa hakuna msaada kutolewa kwa Tanzania mpaka waone taarifa ya CAG kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, serikali imekanusha hakuna ufisadi.

Vyombo vya habari vya Ulaya vimeeleza kuhusu kuhusika kwa serikali ya Tanzania, CCM na China katika biashara haramu ya pembe za ndovu, Membe kama kawaida yake amekurupuka kukanusha lakini mambo hayo yote yatakuja kudhihirika kuwa ni kweli kwa 100%.

Taarifa ya Escrow ipo tayari lakini yaliyomo ndani ni balaa maana ni zaidi hata ya wananchi walivyokuwa wakiitegemea.

Hii iliyopo chini ni kama tetesi lakini ni tetesi yenye uhalisia. Endeleeni kufuatilia kashfa hii kubwa inayogusa ofisi kubwa zote za nchi.
______________________________ ______________________________ ____________

Ikiwa ni siku chache tangu Baraza la Usalama la Taifa kukutana na kupitia ripoti ya uchunguzi ya PCCB kuhusu ufisadi wa zaidi ya shilingi bilioni 200 kwenye akaunti ya Tegeta escrow Benki Kuu, Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa mkurugenzi wa PCCB Dr. Edward Hosea atamkabidhi Mh. Rais Jakaya Kikwete ripoti hiyo Jumatano ijayo kama ilivyoelekezwa na Baraza la Usalama wa Taifa.

Awali ripoti hiyo ilikuwa akabidhiwe Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lakini taarifa za ndani zinabainisha kuwa uzito wa ripoti hiyo unastahili Mkuu wa nchi mwenyewe kwani kuna maeneo ambayo Waziri Mkuu atastahili kuwajibika.

Ofisi nyingine zilizohusika kwenye ufisadi huu kwa mamlaka yao ni Wizara ya Fedha, Benki Kuu, TANESCO, Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, TRA, na baadhi ya vigogo Ikulu.

RIpoti hiyo imekwenda mbali zaidi kuonesha baadhi ya majina ya watu maarufu waliojipatia fedha hizo kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, akaunti ya kampuni ya VIP Engineering katika Benki ya Mkombozi iliyopokea hela za escrow imekutwa hela nyingi zimetoka kwenda kwa Wabunge,Mawaziri Majaji, na baadhi ya watu maarufu (hii ni kwa mujibu wa benki statement ya akaunti hiyo yenye kurasa 27 kuanzia tarehe 20 Januari mpaka tarehe 14 Agosti 2014).

Baadhi ya majina ndani ya benki statement hiyo yalitumiwa pesa kupitia akaunti hiyo ni pamoja na Waziri Anna Tibaijuka, Waziri wa zamani William Ngeleja, Mwanasheria Mkuu wa zamani Andrew Chenge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi na mmoja wa Majaji wa mahakama kuu ya Tanzania Mujulizi. Katika orodha hiyo kuna Wabunge, wajumbe wa kamati ya Nishati na Madini, wote isipokuwa mmoja tu ambaye ni mtumishi mwandamizi wa zamani wa Serikali. Viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wameonekana katika orodha hiyo pia.
Juhudi kubwa zinafanywa hivi sasa kuzuia taarifa ya CAG na PCCB isikabidhiwe Bungeni kwani kama itakuwa wazi inaweza kusababisha kuibuka kwa mtikisiko mkubwa.
ni imani yetu kuwa pants wanaotamkwa kila kukicha ni viongozi wakuu wote wa juu,sasa watanzania,mungu amefungua siri hii,nanyi chukueni maamuzi magumu,no wonder kila afisa wa juu serikakalini na chama cha ccm anautaka urais,Kenya waliwahi pitia magumu haya sasa Wako huru,watanzania msiogope,chukueni maamuzi,mungu atafungua mengi.no wander Tanesco ina operate kwenye negative account,ccm ni kundi la wezi,tuwaogope,no wonder narabara zote ni mashimo,no wonder watu wana Maroli 2000/-,no wander home shopping director kapewa ubalozi china.
 
Back
Top Bottom