DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa mara nyingine nashuhudia mtambo wa kupika majungu ukiendelea kukaanga majungu ili Watanzania wale. Pole sana Ndugu. Prof Kikwete na familia yake hawawezi kuchafuliwa kijinga kama unavyoiga swaga za Yeriko
Kwa mtanzania mwenye mapenzi mema anajua nchi yetu imejaa viongozi wezi. Hawezi kukanusha tuhuma za Yeriko maana anajua hiyo ndiyo kazi ya wezi. Lakini kama mtanzania huyo analipwa na lumumba basi atakanusha
 
ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya pap ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi beach hotel oct8.2013 kuwa kiasi kilichobaki (128m au zaidi ya 200bn), pap watalipwa kila mwezi 8bn mpaka deni kwisha.

Kampuni hii ya pap iliyopewa tuzo hiyo ya 400bn kwa kuwekeza 6mtsh tu ni ya nan? Kwa mujibu wa nyaraka za brela, 50% inililiwa na singh sethi(singasinga) na mwanae na asilimia 50% zinamilikiwa na kampuni ya simba trust ya australia.

Simba trust ni nan.? Uchunguzi umeonesha kuwa simba trust ya australia inamilikiwa na watu wawili ambao ni salima kikwete na miraji kikwete.

Uwepo wa majina haya mawili kama wamiliki wa pap inatafsiriwa kuwa ndio sababu kuu ya jk kuvuta miguu huku nchi ikiumia.

Kwa mkataba huu wa iptl wa 100mw wa miaka 20 (1995_2015), umeongezwa miaka mingine 20 (2013_2033)kwa kuzalisha 500mw.

Kwa mujibu wa mkataba huu, kampuni ya pap italipwa 400m kila siku kama capacity charges . Maana yake singasinga mwenye 50% atapata 200m kila siku. Na watoto wawili wa jk watapata kila mmoja 100m kila siku hadi 2033.

Uwepo wa familia ya jk kwenye ufisadi huu inadaiwa ndio kinga ya wahusika ; muhongo, werema, maswi, mramba, likwilile na hata waziri mkuu kutetea

ushahidi unakwenda kuonesha kuwa hata uamuzi wa gavana kuruhusu fedha hiyo itoke kimakosa ni baada ya kupata memo kutoka katibu wa rais bw mbena ikisema rais kaelekeza.

Na ni sababu hiyo pia baada ya dr hosea kuwasilisha report kwa rais, jk alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa dpp ili.wahusika wafikishwe mahakamani

kama sehemu ya mwangaza.

Napenda kuwakumbusha watanzania, mataifa ya ulaya na marekani huwa hayakurupuki kutoa shutuma, ukiona wanatoa tamko ujue wana uhakika. Walieleza juu ya meli za iran kutumia bendera ya tanzania, membe alikurupuka kukanusha kama kawaida yake, baadaye ikadhihirika ni kweli.
Mataifa ya ulaya yalitishia kusimamisha misaada kutokana na ufisadi wa richmond, kwanza serikali ilikanusha baadaye ilidhirika kuwa ni kweli kulikuwa na wizi.

Mataifa ya ulaya yaliwahi kuelezea ufisadi katika manunuzi ya radar, serikali ikatoa maelezo marefu kuonesha hakuna ufisadi, baadaye ikadhihirika ni kweli.

Sasa wametoa tamko kuwa hakuna msaada kutolewa kwa tanzania mpaka waone taarifa ya cag kuhusu ufisadi katika akaunti ya escrow, serikali imekanusha hakuna ufisadi.

Vyombo vya habari vya ulaya vimeeleza kuhusu kuhusika kwa serikali ya tanzania, ccm na china katika biashara haramu ya pembe za ndovu, membe kama kawaida yake amekurupuka kukanusha lakini mambo hayo yote yatakuja kudhihirika kuwa ni kweli kwa 100%.

Taarifa ya escrow ipo tayari lakini yaliyomo ndani ni balaa maana ni zaidi hata ya wananchi walivyokuwa wakiitegemea.

Hii iliyopo chini ni kama tetesi lakini ni tetesi yenye uhalisia. Endeleeni kufuatilia kashfa hii kubwa inayogusa ofisi kubwa zote za nchi.
______________________________ ______________________________ ____________

ikiwa ni siku chache tangu baraza la usalama la taifa kukutana na kupitia ripoti ya uchunguzi ya pccb kuhusu ufisadi wa zaidi ya shilingi bilioni 200 kwenye akaunti ya tegeta escrow benki kuu, taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa mkurugenzi wa pccb dr. Edward hosea atamkabidhi mh. Rais jakaya kikwete ripoti hiyo jumatano ijayo kama ilivyoelekezwa na baraza la usalama wa taifa.

Awali ripoti hiyo ilikuwa akabidhiwe mh. Waziri mkuu mizengo pinda, lakini taarifa za ndani zinabainisha kuwa uzito wa ripoti hiyo unastahili mkuu wa nchi mwenyewe kwani kuna maeneo ambayo waziri mkuu atastahili kuwajibika.

Ofisi nyingine zilizohusika kwenye ufisadi huu kwa mamlaka yao ni wizara ya fedha, benki kuu, tanesco, wizara ya nishati na madini, ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, tra, na baadhi ya vigogo ikulu.

Ripoti hiyo imekwenda mbali zaidi kuonesha baadhi ya majina ya watu maarufu waliojipatia fedha hizo kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, akaunti ya kampuni ya vip engineering katika benki ya mkombozi iliyopokea hela za escrow imekutwa hela nyingi zimetoka kwenda kwa wabunge,mawaziri majaji, na baadhi ya watu maarufu (hii ni kwa mujibu wa benki statement ya akaunti hiyo yenye kurasa 27 kuanzia tarehe 20 januari mpaka tarehe 14 agosti 2014).

Baadhi ya majina ndani ya benki statement hiyo yalitumiwa pesa kupitia akaunti hiyo ni pamoja na waziri anna tibaijuka, waziri wa zamani william ngeleja, mwanasheria mkuu wa zamani andrew chenge, katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini eliakim maswi na mmoja wa majaji wa mahakama kuu ya tanzania mujulizi. Katika orodha hiyo kuna wabunge, wajumbe wa kamati ya nishati na madini, wote isipokuwa mmoja tu ambaye ni mtumishi mwandamizi wa zamani wa serikali. Viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wameonekana katika orodha hiyo pia.
Juhudi kubwa zinafanywa hivi sasa kuzuia taarifa ya cag na pccb isikabidhiwe bungeni kwani kama itakuwa wazi inaweza kusababisha kuibuka kwa mtikisiko mkubwa.

==============================================

updates
miraj jakaya kikwete amejibu shutuma hizi, fuatilia huu uzi=> miraj kikwete: Mimi na dada yangu salama hatumiliki kampuni ya simba trust

kumbe ukweli ndo huo? Kwanini wengine wanatakiwa kutolewa kafara ili watoto wa wakubwa wapone? Basi kuanzia leo tukome kuwashambulia watu wasiohusika kama prof. Anna tibaijuka ila kama ww ulijenga kwenye open space ukabomolewa basi endelea maana unahasira ya kubomolewa kwa kutokufuata sheria maana eneo la wazi unaweka mjengo na masikini wakose pakuchezea au pakukaa
 
inasikitisha sana haya mambo yanatokea kwenye nch maskin kama tanzania.
maoni yangu, bado watanzania ni wajinga na sio werevu.
 
Mimi najua kashfa yote hii kwa Rais ni kwa sababu tu ameoneha msimamo wa Taifa kutogawanywa vipande vipande kwa kivuli cha SERIKALI TATU. tunaopenda kuona Tanzania inadumu milele hakika tutamuunga mkono

TataMadiba kwetu sisi WAZALENDO tatizo ilikuwa siyo serikali tatu,sababu serikali tatu bado inahitaji research nk nk,tatizo letu kubwa ni kuyaondoa yote yaliyokuwa yameshika pabaya WATAWALA ambao kwa namna moja au nyingine ndiyo wahusika wakuu kwenye kulihujumu TAIFA,na mbaya zaidi RAIS wetu tuliyemtegemea akisema anakemea RUSHWA na UFIOSADI basi aonekane na SURA yake,mikono,miguu vyote kuwa anakemea UBADHIRIFU,lakini pale anapopigia chapuo KATIBA ya MAFISADI simwelewi na sitamwelewa kamwe!

Hivyo kubaliana nami kuwa tatizo siyo muungano,muungano umekuja ili kutoa sababu tu za kuchakachua RASIMU ya Warioba.Ubaya na wao wenyewe wamekiri,kumtukana Warioba ilikuwa ni mbinu chafu tu ili kupitisha BORA KATIBA.
 
Mkuu, ni vigumu sana kuutetea uongo. Ndivyo alivyojivua nguo Yeriko

Yawezekana kuna uwongo. Je, una uhakika yote yaliyoandikwa na Yeriko ni uwongo? Anyway umesema Yeriko anatetea uwongo wewe unatetea nini? Je, ni maisha yako? Au maisha ya chama chako cha siasa? Au unatetea nini?
 
Ewe Mungu muumba wa mbingu na nchi, ikiwemo Tanzania na watu wake walio wema na wabaya. Tunashukuri kutupatia viongozi; wengine ni waadilifu na waovu pia wamo hasa wanaohujumu rasilimali za nchi hii. Wanatumia vibaya madaraka uliyowapa kupitia kwetu wananchi. Wanaendelea kuiba rasilimali fedha na nyinginezo hata kupelekea hospitali kukosa dawa, shule kukosa walimu mahiri na vifaa vya kufundishia na kujifunzia. Wao wanatibiwa nje ya nchi, wanasomesha watoto wao kwenye shule nzuri nje ya nchi. Hawataki kushughulika na maendeleo ya wananchi.

Ee Mungu tuokoe Taifa lako kwa kuwapa viongozi wezi adhabu stahiki hapra hapa duniani ili sisi watu wako tunusurikge.Wasaidie watu wote wanaotetea uovu waweze kubadilika ili wasimamie haki kwa ajili ya ustawi wa Taifa lako. Waadhibu wale wote wasiokubali kubadilika kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu wako ambao wanaishi kwa taabu kwa kukosa huduma mbalimbali za jamii kwa sababu ya wezi. AMINA
 
Mkuu tetty nimependa maneno yako yenye kumfikishia ujumbe huyu gamba lizaboni. Mara zote maneno yake ni hayo hayo. Kuna siku alicoment " umekuja kutafuta mabwana humu nenda jukwaa husika". Ukiangalia na alivo coment kwanko ni same same. Hii inaonyesha ni mtu aliye ishiwa hoja na anatetea asicho kiamini. Tatizo la magamba ni hilo wana IDS zao fulani fulani humu ni lazima zitetee hata kama ikiandikwa kitu cha kitaifa zaidi, kwa maneno ya busara uliyo tumia nadhani huyu gamba atajifunza kuto tukana watu hovyo. Tz ni yetu wote and we are in for it NOW than ever before. Watch out Magambas.....

Nadhani sitamlaumu kwani ni hulka ya wanaCCM ,ukiangalia hata bungeni wanaongoza kwa kuwakashfu wenzao,na hakuna Kiongozi anayesimama kukemea.

Nadhani ulimsikia yule Mbunge wa Zanziba kwa jina la Fatma,alivyoanza kumvua Mjumbe mwenzake nguo kwa matusi machafu ya nguoni,je uliona kiongozi yeyote akimkemea?Na wa pili alivyorudisha matusi yake uliona jinsi alivyonyamazishwa na kuonywa?

Ukishayawekea alama haya,hawa wanaopenda kutukana watu hovyo na watetezi wakubwa wa viongozi siwashangai ni hulka yao na wamejijenga wao kuwa kwao kutukana ni haki yao lakini ni mwiko kutukanwa!
 
Acheni kuropoka humu jf,tunachohitaji ni ripoti ya CAG na PCCB,tujue mbivu na mbichi,mngejua maumivu tunayopata walah msingeingiza siasa ktk hili jambo,lkn sababu baadhi yenu hamjielewi basi GOD WILL FORGIVE YOU,mnashabkia ubadhirifu whle hosp hazna dawa.
 
Ni equation ya power relation, huwezi elewa kama huwezi hoji sababu ya wewe kuwa hapo wakati anayekanusha ni wa "first family"!!!!
Wewe ukitembea kwa miguu huwezi weka headline lakini mtoto wa Rais akipanda daladala atakaa front page ya gazeti zoote!!!

Jikomboe kifikra!!!

mkuu hujaeleweka au labda mimi sijakuelewa. Hebu twende taratibu. Tuamini vipi kuwa miraji ana kampuni bila ushahidi wowote, lakini hapo hapo tumtake miraji akanushe akiwa na ushahidi? Unatakiwa uwe na ushahidi gani kuwa hauna kampuni hiyo?
 
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi beach hotel oct8.2013 kuwa kiasi kilichobaki (128m au zaidi ya 200bn), PAP watalipwa kila mwezi 8bn mpaka deni kwisha.

Kampuni hii ya PAP iliyopewa tuzo hiyo ya 400bn kwa kuwekeza 6mTsh tu ni ya nan? Kwa mujibu wa nyaraka za BRELA, 50% inililiwa na Singh Sethi(singasinga) na mwanae na asilimia 50% zinamilikiwa na kampuni ya Simba Trust ya Australia.

Simba trust ni nan.? Uchunguzi umeonesha kuwa Simba trust ya Australia inamilikiwa na watu wawili ambao ni salima Kikwete na Miraji Kikwete.

Uwepo wa majina haya mawili kama wamiliki wa PAP inatafsiriwa kuwa ndio sababu kuu ya JK kuvuta miguu huku nchi ikiumia.

Kwa mkataba huu wa IPTL wa 100MW wa miaka 20 (1995_2015), umeongezwa miaka mingine 20 (2013_2033)kwa kuzalisha 500MW.

Kwa mujibu wa mkataba huu, kampuni ya PAP italipwa 400m kila siku kama capacity charges . Maana yake singasinga mwenye 50% atapata 200m kila siku. Na watoto wawili wa JK watapata kila mmoja 100m kila siku hadi 2033.

Uwepo wa familia ya JK kwenye ufisadi huu inadaiwa ndio Kinga ya wahusika ; Muhongo, werema, maswi, mramba, likwilile na hata waziri mkuu kutetea

Ushahidi unakwenda kuonesha kuwa hata uamuzi wa Gavana kuruhusu fedha hiyo itoke kimakosa ni baada ya kupata MEMO kutoka Katibu wa rais Bw Mbena ikisema Rais kaelekeza.

Na ni sababu hiyo pia baada ya Dr Hosea kuwasilisha report kwa rais, JK alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa DPP ili.wahusika wafikishwe mahakamani

KAMA SEHEMU YA MWANGAZA.

Napenda kuwakumbusha Watanzania, Mataifa ya Ulaya na Marekani huwa hayakurupuki kutoa shutuma, ukiona wanatoa tamko ujue wana uhakika. Walieleza juu ya meli za Iran kutumia bendera ya Tanzania, Membe alikurupuka kukanusha kama kawaida yake, baadaye ikadhihirika ni kweli.
Mataifa ya Ulaya yalitishia kusimamisha misaada kutokana na ufisadi wa Richmond, kwanza serikali ilikanusha baadaye ilidhirika kuwa ni kweli kulikuwa na wizi.

Mataifa ya Ulaya yaliwahi kuelezea ufisadi katika manunuzi ya radar, serikali ikatoa maelezo marefu kuonesha hakuna ufisadi, baadaye ikadhihirika ni kweli.

Sasa wametoa tamko kuwa hakuna msaada kutolewa kwa Tanzania mpaka waone taarifa ya CAG kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, serikali imekanusha hakuna ufisadi.

Vyombo vya habari vya Ulaya vimeeleza kuhusu kuhusika kwa serikali ya Tanzania, CCM na China katika biashara haramu ya pembe za ndovu, Membe kama kawaida yake amekurupuka kukanusha lakini mambo hayo yote yatakuja kudhihirika kuwa ni kweli kwa 100%.

Taarifa ya Escrow ipo tayari lakini yaliyomo ndani ni balaa maana ni zaidi hata ya wananchi walivyokuwa wakiitegemea.

Hii iliyopo chini ni kama tetesi lakini ni tetesi yenye uhalisia. Endeleeni kufuatilia kashfa hii kubwa inayogusa ofisi kubwa zote za nchi.
______________________________ ______________________________ ____________

Ikiwa ni siku chache tangu Baraza la Usalama la Taifa kukutana na kupitia ripoti ya uchunguzi ya PCCB kuhusu ufisadi wa zaidi ya shilingi bilioni 200 kwenye akaunti ya Tegeta escrow Benki Kuu, Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa mkurugenzi wa PCCB Dr. Edward Hosea atamkabidhi Mh. Rais Jakaya Kikwete ripoti hiyo Jumatano ijayo kama ilivyoelekezwa na Baraza la Usalama wa Taifa.

Awali ripoti hiyo ilikuwa akabidhiwe Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lakini taarifa za ndani zinabainisha kuwa uzito wa ripoti hiyo unastahili Mkuu wa nchi mwenyewe kwani kuna maeneo ambayo Waziri Mkuu atastahili kuwajibika.

Ofisi nyingine zilizohusika kwenye ufisadi huu kwa mamlaka yao ni Wizara ya Fedha, Benki Kuu, TANESCO, Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, TRA, na baadhi ya vigogo Ikulu.

RIpoti hiyo imekwenda mbali zaidi kuonesha baadhi ya majina ya watu maarufu waliojipatia fedha hizo kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, akaunti ya kampuni ya VIP Engineering katika Benki ya Mkombozi iliyopokea hela za escrow imekutwa hela nyingi zimetoka kwenda kwa Wabunge,Mawaziri Majaji, na baadhi ya watu maarufu (hii ni kwa mujibu wa benki statement ya akaunti hiyo yenye kurasa 27 kuanzia tarehe 20 Januari mpaka tarehe 14 Agosti 2014).

Baadhi ya majina ndani ya benki statement hiyo yalitumiwa pesa kupitia akaunti hiyo ni pamoja na Waziri Anna Tibaijuka, Waziri wa zamani William Ngeleja, Mwanasheria Mkuu wa zamani Andrew Chenge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi na mmoja wa Majaji wa mahakama kuu ya Tanzania Mujulizi. Katika orodha hiyo kuna Wabunge, wajumbe wa kamati ya Nishati na Madini, wote isipokuwa mmoja tu ambaye ni mtumishi mwandamizi wa zamani wa Serikali. Viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wameonekana katika orodha hiyo pia.
Juhudi kubwa zinafanywa hivi sasa kuzuia taarifa ya CAG na PCCB isikabidhiwe Bungeni kwani kama itakuwa wazi inaweza kusababisha kuibuka kwa mtikisiko mkubwa.

==============================================

Updates
Miraj Jakaya Kikwete amejibu shutuma hizi, fuatilia huu uzi=> Miraj Kikwete: Mimi na dada yangu Salama hatumiliki Kampuni ya Simba trust

Watakuwa na hisia za kuwa Watanzania ni wajinga lakini hawatajua ni lini ujinga utakoma na kudai tulichodhulumiwa....Pole Mtanzania
 
mkuu hujaeleweka au labda mimi sijakuelewa. Hebu twende taratibu. Tuamini vipi kuwa miraji ana kampuni bila ushahidi wowote, lakini hapo hapo tumtake miraji akanushe akiwa na ushahidi? Unatakiwa uwe na ushahidi gani kuwa hauna kampuni hiyo?

Wewe ndio haujamuelewa Olesaidimu, ngoja sasa nikueleweshe ni hivi ukichafuliwa kuna chombo maalum cha kusafisha watu nacho ni mahakama.

Mahakama ndio itamtaka mtuhumu athibitishe tuhuma dhidi ya mlalamikaji na akishindwa kuthibitisha mahakama inakusafisha na unaweza funguwa na kesi ya madai.

Angalia mfano hapa Billionare Manji amemfungulia kesi Billionare Mengi akimdai fidia ya shilling moja kwa sababu shida siyo pesa bali anataka mahakama imsafishe.

Kwa maelezo haya kama hujaelewa basi inabidi ukafanyiwe check up Baltmore.
 
Hayo ni mawazo yako yalipotoka mnona slaa alishindwa kupata hata kura elfu kumi akashindwa hata kusogea alipokuwa amesimama jk ni kiongozi hodari ndiyo maana kwa sasa tanzania haipo kwenye kundi la nchi 25 maskini duniani wakati2010 tulikuwa katika nchi kumi maskini soma hapa.
.......ukiwa kiongozi hodari ni tiketi ya kula na kuvimbiwa mkuu?? (hoja yako bado ni nyeupe kwa utetezi, japokuwa kushindwa kwako kutetea hakumaanishi kwamba tuhuma ni za kweli)
 
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi beach hotel oct8.2013 kuwa kiasi kilichobaki (128m au zaidi ya 200bn), PAP watalipwa kila mwezi 8bn mpaka deni kwisha.

Kampuni hii ya PAP iliyopewa tuzo hiyo ya 400bn kwa kuwekeza 6mTsh tu ni ya nan? Kwa mujibu wa nyaraka za BRELA, 50% inililiwa na Singh Sethi(singasinga) na mwanae na asilimia 50% zinamilikiwa na kampuni ya Simba Trust ya Australia.

Simba trust ni nan.? Uchunguzi umeonesha kuwa Simba trust ya Australia inamilikiwa na watu wawili ambao ni salima Kikwete na Miraji Kikwete.

Uwepo wa majina haya mawili kama wamiliki wa PAP inatafsiriwa kuwa ndio sababu kuu ya JK kuvuta miguu huku nchi ikiumia.

Kwa mkataba huu wa IPTL wa 100MW wa miaka 20 (1995_2015), umeongezwa miaka mingine 20 (2013_2033)kwa kuzalisha 500MW.

Kwa mujibu wa mkataba huu, kampuni ya PAP italipwa 400m kila siku kama capacity charges . Maana yake singasinga mwenye 50% atapata 200m kila siku. Na watoto wawili wa JK watapata kila mmoja 100m kila siku hadi 2033.

Uwepo wa familia ya JK kwenye ufisadi huu inadaiwa ndio Kinga ya wahusika ; Muhongo, werema, maswi, mramba, likwilile na hata waziri mkuu kutetea

Ushahidi unakwenda kuonesha kuwa hata uamuzi wa Gavana kuruhusu fedha hiyo itoke kimakosa ni baada ya kupata MEMO kutoka Katibu wa rais Bw Mbena ikisema Rais kaelekeza.

Na ni sababu hiyo pia baada ya Dr Hosea kuwasilisha report kwa rais, JK alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa DPP ili.wahusika wafikishwe mahakamani

KAMA SEHEMU YA MWANGAZA.

Napenda kuwakumbusha Watanzania, Mataifa ya Ulaya na Marekani huwa hayakurupuki kutoa shutuma, ukiona wanatoa tamko ujue wana uhakika. Walieleza juu ya meli za Iran kutumia bendera ya Tanzania, Membe alikurupuka kukanusha kama kawaida yake, baadaye ikadhihirika ni kweli.
Mataifa ya Ulaya yalitishia kusimamisha misaada kutokana na ufisadi wa Richmond, kwanza serikali ilikanusha baadaye ilidhirika kuwa ni kweli kulikuwa na wizi.

Mataifa ya Ulaya yaliwahi kuelezea ufisadi katika manunuzi ya radar, serikali ikatoa maelezo marefu kuonesha hakuna ufisadi, baadaye ikadhihirika ni kweli.

Sasa wametoa tamko kuwa hakuna msaada kutolewa kwa Tanzania mpaka waone taarifa ya CAG kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, serikali imekanusha hakuna ufisadi.

Vyombo vya habari vya Ulaya vimeeleza kuhusu kuhusika kwa serikali ya Tanzania, CCM na China katika biashara haramu ya pembe za ndovu, Membe kama kawaida yake amekurupuka kukanusha lakini mambo hayo yote yatakuja kudhihirika kuwa ni kweli kwa 100%.

Taarifa ya Escrow ipo tayari lakini yaliyomo ndani ni balaa maana ni zaidi hata ya wananchi walivyokuwa wakiitegemea.

Hii iliyopo chini ni kama tetesi lakini ni tetesi yenye uhalisia. Endeleeni kufuatilia kashfa hii kubwa inayogusa ofisi kubwa zote za nchi.
______________________________ ______________________________ ____________

Ikiwa ni siku chache tangu Baraza la Usalama la Taifa kukutana na kupitia ripoti ya uchunguzi ya PCCB kuhusu ufisadi wa zaidi ya shilingi bilioni 200 kwenye akaunti ya Tegeta escrow Benki Kuu, Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa mkurugenzi wa PCCB Dr. Edward Hosea atamkabidhi Mh. Rais Jakaya Kikwete ripoti hiyo Jumatano ijayo kama ilivyoelekezwa na Baraza la Usalama wa Taifa.

Awali ripoti hiyo ilikuwa akabidhiwe Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lakini taarifa za ndani zinabainisha kuwa uzito wa ripoti hiyo unastahili Mkuu wa nchi mwenyewe kwani kuna maeneo ambayo Waziri Mkuu atastahili kuwajibika.

Ofisi nyingine zilizohusika kwenye ufisadi huu kwa mamlaka yao ni Wizara ya Fedha, Benki Kuu, TANESCO, Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, TRA, na baadhi ya vigogo Ikulu.

RIpoti hiyo imekwenda mbali zaidi kuonesha baadhi ya majina ya watu maarufu waliojipatia fedha hizo kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, akaunti ya kampuni ya VIP Engineering katika Benki ya Mkombozi iliyopokea hela za escrow imekutwa hela nyingi zimetoka kwenda kwa Wabunge,Mawaziri Majaji, na baadhi ya watu maarufu (hii ni kwa mujibu wa benki statement ya akaunti hiyo yenye kurasa 27 kuanzia tarehe 20 Januari mpaka tarehe 14 Agosti 2014).

Baadhi ya majina ndani ya benki statement hiyo yalitumiwa pesa kupitia akaunti hiyo ni pamoja na Waziri Anna Tibaijuka, Waziri wa zamani William Ngeleja, Mwanasheria Mkuu wa zamani Andrew Chenge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi na mmoja wa Majaji wa mahakama kuu ya Tanzania Mujulizi. Katika orodha hiyo kuna Wabunge, wajumbe wa kamati ya Nishati na Madini, wote isipokuwa mmoja tu ambaye ni mtumishi mwandamizi wa zamani wa Serikali. Viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wameonekana katika orodha hiyo pia.
Juhudi kubwa zinafanywa hivi sasa kuzuia taarifa ya CAG na PCCB isikabidhiwe Bungeni kwani kama itakuwa wazi inaweza kusababisha kuibuka kwa mtikisiko mkubwa.

==============================================

Updates
Miraj Jakaya Kikwete amejibu shutuma hizi, fuatilia huu uzi=> Miraj Kikwete: Mimi na dada yangu Salama hatumiliki Kampuni ya Simba trust

attachment.php

Yericko Nyerere uliyeleta huo uongo, leta ushahidi.
 
Last edited by a moderator:
Basi waengine wasitolewe kafara. Watolewe kafara kwanza ikulu na familia ya mh. Kwanza then basi
 
Balaaaa kubwa kabisa hili jamani

Minimeamua kuludi shamba nalima, huku situmii umeme wala staki kuusikia sasa muibiane hukohuko town, atakae jipendekeza kuja kuninyanganya shamba langu nazaa nae apa niko full nina ak na mabomu kibao na polisi mje kujipendekeza kuniuliza nimevipata wapi mtakula risasi za ------ wote ninahasira mbaya , yaani kumbe mrisho ndio master mind hapo hakuna cha c.a.g wala takukuru watazuga tu, watz hii ni vita hao sio watu nimakenge na inaonekana wako tayari kwa lolote tujipange sio story tu
 
Wewe ndio haujamuelewa Olesaidimu, ngoja sasa nikueleweshe ni hivi ukichafuliwa kuna chombo maalum cha kusafisha watu nacho ni mahakama.

Mahakama ndio itamtaka mtuhumu athibitishe tuhuma dhidi ya mlalamikaji na akishindwa kuthibitisha mahakama inakusafisha na unaweza funguwa na kesi ya madai.

Angalia mfano hapa Billionare Manji amemfungulia kesi Billionare Mengi akimdai fidia ya shilling moja kwa sababu shida siyo pesa bali anataka mahakama imsafishe.

Kwa maelezo haya kama hujaelewa basi inabidi ukafanyiwe check up Baltmore.

Hoja hapa si miraji hoja ni hawa wanaotoa tuhuma bila ushahidi kutaka anayetuhumiwa ndie athibitishe. kama hujaelewa hili.....
 
Hivi huwa unpewa sh ngapi kwa unafiki ulionao?unatetea nini sasa,wakati kila kitu kiko wazi,umeshajiuliza kwanini bunge linasuasua kuiingiza ripoti ya cag ijadiliwe?acha unafiki,raslimali za nchi zinanufaisha wachache wakati hata mahospital I hakuna dawa,wao wakiugua matibabu nje ya nchi.
.......kila post Lizabon anapewa 7000 kama wale vijana walionyanyua mabango wakati wa mdahalo; ndio rate zetu
 
Back
Top Bottom