Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #621
yakutungaaa
subiria hapo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yakutungaaa
subiria hapo hapo
Wale watetezi wa wizi huu njooni tena, ripoti tunayo mkononi
Nasikitika Mvuta Bangi Miraji anaingiza 100m kwa siku mpaka 2033.
Masikini wa Mungu, hata hao watoto hawajijui kuwa wanaingiza pesa nyingi hivi kwa siku, wala hawajijui kuwa wanamiliki kampuni kubwa vile.
Tupo sana!, uzuri wa hoja zozote za kizushi, huwa ni mbio tuu za sakafuni, ambazo huiishia ukingoni!, laki kama ni hoja zenye ukweli, then siku zote, ukweli husimama!.Hahaa mwaka huu wataihama jf kabisaa
Mkuu Juve, mimi nipo sana tuu!, uzuri wa hoja zozote za kizushi, huwa ni mbio tuu za sakafuni, ambazo huiishia ukingoni!, laki kama ni hoja zenye ukweli, then siku zote, ukweli husimama!.Nnekuja kumwakilisha Pasco mzee wa "the psychic powers" kathema nije niwaambie etii..eti "the power within" inamwambia wiki hii athiingie jf,teh teh!
[FONT="]Ignorance is a lot like alcohol: the more you have of it, the less you are able to see its effect on you. [/FONT][/COLOR][I][COLOR=#0D0D0D][FONT="]([/FONT][/I][FONT="]Jay M. Bylsma[/FONT][/COLOR][/I][/URL][I][COLOR=#0D0D0D][FONT="])[/FONT][FONT="][/FONT]
Hakuna wizi wowote!, its pure business, mwizi ni mwizi wa kuku, mabilioni ni kuazima tuu, wenyewe wakijua, unatakiwa kurudisha tuu!, kwani ile ya EPA ilikuwa wizi au waliazima?!.Wale watetezi wa wizi huu njooni tena, ripoti tunayo mkononi
Hahahahaaaa nimecheka sana mkuuHakuna wizi wowote!, its pure business, mwizi ni mwizi wa kuku, mabilioni ni kuazima tuu, wenyewe wakijua, unatakiwa kurudisha tuu!, kwani ile ya EPA ilikuwa wizi au waliazima?!.
Pasco.