CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huyu usukuma ndiyo unamsumbua na hajui kuwa Magufuli hakuwa Msukuma bali ni mhutu wa Burundi.Nyani Ngabu ujue unaheshimika humu, ukija na maandiko kama haya utashangaza!
Saa100 unamuona anafaa🥺Mungu asingeingilia kati yule ngosha angetumaliza rias gn umejaaa visirani kama demu aliyekopwa
Nendeni nyie mahakamani mkaumbuke.Athibitishe kwa ushahidi mahakamani.
Na naniHata kifo cha Magufuli,kinahitaji kifanyiwe uchunguzi WA kina!
Bora yy kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yakeSaa100 unamuona anafaa🥺
Ameandika kwa sababu hajaguzwa na ule utawala dhalimuScotland Yard waje wafanye uchunguzi uone kama watakubali. Hawataki, wakae kimya.
Akili ni nywele ukisikia kipara jua kichwani hakuna kituNaunga mkono hoja.....Rais Samia na CCM kwa pamoja sio wa kumchekea msaliti kabendera!
duh! hutetwi, tayari umeibuka!Gentleman,
nilidhani mwisho wa mawenge ulikua ni2024, naona umevuka nayo dah!
Yale macho yake unayaonajeBora yy kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake
Hizi tuhuma zipo siku nyingi sana tangu mwenyewe akiwa hai na wengi tumeziamini kutokana na hulka ya Magufuli ya ukatili. Huko mahakamani yanaweza kuibuliwa makubwa zaidi ya hili,busara ni kukaa kimya tu.Ndo maana nikasema wakiliacha hili suala bila kuchukua hatua, tuhuma zitaaminika!
Sasa mkuu...vpi ya mzee kibao nayo yakija kuandikwa mbeleni,nayo utapinga..!!?
Mnauana wenyewe kwa wenyewe halafu mnawatuhumu watu wasiohusika kwa kisingizio ndio maraisHili ni kweli kabisa huyu amempita kwa mbali sana Magufuli kwa uovu,yaani hii awamu ya sita ya mchongo tunaweza kabisa kuibatiza na kuiita awamu ya "ubaya ubwela".
Kwa Wakristo Kisasi ni jambo baya sana. Ninachokiona kutoka kwa Kabendera ni Kisasi dhidi ya Mpendwa Magufuli. Hizi ni serious accusations ambazo zinahitaji tangible evidence na sio evidence zinazotokana na hearsay! Pia inashangaza kusoma moja miongoni mwa sources zake ni Viongozi wa Upinzani! Hao viongozi wa upinzani walikuwa wapi hadi wakashuhudia Ben akiingizwa Ikulu ambako Mh Magufuli alikuwa na pistol?!Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Yanafaaa sanaaa kupigwa goli nne 😄 sijui yatakua yana angaliajeYale macho yake unayaonaje
Katika watu hao mimi niko msitari wa mbele kabisa. Kwa bahati mbaya sidhani kama yuko mwenye ujasiri wa kufanya hivyo!Nina uhakika kuna watu wanatamani na kuomba hili suala liende mahakamani!
NgKatika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.
Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?
Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.
Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.
Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.
Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.
Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.
If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.
Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.
Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.
Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.
Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.
Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.
Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.
Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.
Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.
Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.
Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?
Vigumu sana kuamini hilo.
Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
Wewe nawe, umeanza kuwa kituko. Unafikiri Familia haijui kwamba Jpm alikuwa muuaji? Wewe ndio umekuwa family advisor?Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.
Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?
Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.
Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.
Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.
Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.
Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.
If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.
Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.
Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.
Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.
Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.
Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.
Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.
Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.
Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.
Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.
Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?
Vigumu sana kuamini hilo.
Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
kwa hiyo unaamini waliopo wameamua tu kuachia hicho kitabu kimkakati kisomwe, japo wanaweza kukipiga marufuku lakini ujumbe utakuwa umesambaa na hauwezi kufutwa! Kwani kuna nini januari hii mapema tu kitabu msisimko kinaachiwa?Akili nyingine hizi hivi kitabu mpaka kitoke hakina ukaguzi? Jibu rahisi ni mpango madhubuti uliondaliwa kuwatoa watu kwenye uhalisia uliopo na kuwarudisha kwenye uhalisia wa kufikirika ,
kwa jicho la kawaida tu huo ni mpango uliopitishwa na waliopo ila waliopo nao wakati utaisha nao.