Familia ya SSP Fatuma Kidongo itawafungulia kesi Buyobe na Kundi lake

Familia ya SSP Fatuma Kidongo itawafungulia kesi Buyobe na Kundi lake

Huyo maza nae awape hao wasambazaji picha nyingine sio hiyo waliyoiclop hata hatuoni uumbaji vizuri
 
kwahiyo wakili katizama hadi mwisho? aliipataje?
 
Buyobe namjua tangu anasoma Jamaa yupo smart Sana nimemjuwa wakati akiwa saint Alfred Kagera nadhani Kila kitu anacho kinachohusu huyo Askari
 
Yule bwna kuna muda itatokea atavuka mstari mwekundu ile upande wake. Binafsi namkubali kwenye stori zake ,ila kuna muda analisha watu matango mwitu kwenye baadhi ya mada zake.
Ukiherejere wa kuwa mtoa taarifa, huu ndio ujinga wa mambulula wa kibongo ili apate watu kwenye chaneli yake
Sasa kama hana hela, atakimbia mji
 
Buyobe namjua tangu anasoma Jamaa yupo smart Sana nimemjuwa wakati akiwa saint Alfred Kagera nadhani Kila kitu anacho kinachohusu huyo Askari
kumbe ni wa bukoba. Asante kwa kunipa clue ya muhimu sana.
 
Back
Top Bottom