Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Aug 22, 2024 #21 Huyo maza nae awape hao wasambazaji picha nyingine sio hiyo waliyoiclop hata hatuoni uumbaji vizuri
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 16,054 Reaction score 11,568 Aug 22, 2024 #22 kwahiyo wakili katizama hadi mwisho? aliipataje?
RWANDES JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,788 Reaction score 4,401 Aug 22, 2024 #23 Buyobe namjua tangu anasoma Jamaa yupo smart Sana nimemjuwa wakati akiwa saint Alfred Kagera nadhani Kila kitu anacho kinachohusu huyo Askari
Buyobe namjua tangu anasoma Jamaa yupo smart Sana nimemjuwa wakati akiwa saint Alfred Kagera nadhani Kila kitu anacho kinachohusu huyo Askari
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 4,072 Reaction score 12,119 Aug 22, 2024 #24 Yule bwna kuna muda itatokea atavuka mstari mwekundu ile upande wake. Binafsi namkubali kwenye stori zake ,ila kuna muda analisha watu matango mwitu kwenye baadhi ya mada zake. gammaparticles said: Ukiherejere wa kuwa mtoa taarifa, huu ndio ujinga wa mambulula wa kibongo ili apate watu kwenye chaneli yake Sasa kama hana hela, atakimbia mji Click to expand...
Yule bwna kuna muda itatokea atavuka mstari mwekundu ile upande wake. Binafsi namkubali kwenye stori zake ,ila kuna muda analisha watu matango mwitu kwenye baadhi ya mada zake. gammaparticles said: Ukiherejere wa kuwa mtoa taarifa, huu ndio ujinga wa mambulula wa kibongo ili apate watu kwenye chaneli yake Sasa kama hana hela, atakimbia mji Click to expand...
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 4,072 Reaction score 12,119 Aug 22, 2024 #25 RWANDES said: Buyobe namjua tangu anasoma Jamaa yupo smart Sana nimemjuwa wakati akiwa saint Alfred Kagera nadhani Kila kitu anacho kinachohusu huyo Askari Click to expand... kumbe ni wa bukoba. Asante kwa kunipa clue ya muhimu sana.
RWANDES said: Buyobe namjua tangu anasoma Jamaa yupo smart Sana nimemjuwa wakati akiwa saint Alfred Kagera nadhani Kila kitu anacho kinachohusu huyo Askari Click to expand... kumbe ni wa bukoba. Asante kwa kunipa clue ya muhimu sana.