Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
mbona hamas hawana afya mbovu?Mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu.
Sasa watapewa chakula kipi na Nyau anazuia chakula kisiingie.
Mbona mateka wengine walikua wanatoka wanenona vizuri sababu chakula kilikuwepo.
Mzayuni akili imepiga mwamba, njia zote za kuwaondoa wagaza kwenye ardhi yao zimeshibdwa.
Aluta continua
Huyo Mungu wenu si wa kweli! Mnaabudu miunguMkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu.
Sasa watapewa chakula kipi na Nyau anazuia chakula kisiingie.
Mbona mateka wengine walikua wanatoka wanenona vizuri sababu chakula kilikuwepo.
Mzayuni akili imepiga mwamba, njia zote za kuwaondoa wagaza kwenye ardhi yao zimeshibdwa.
Aluta continua
Huyo Mungu wa kweli ni yupi anaeruhusu mauaji?Huyo Mungu wenu si wa kweli! Mnaabudu miungu
Hadi wale wagaza wakristo? Au wwnyewe umewatoa?Huyo Mungu wenu si wa kweli! Mnaabudu miungu
Mungu ameigiaje hapa kenge wewe usie na hoja.Huyo Mungu wenu si wa kweli! Mnaabudu miungu
kwani IDF wana afya mbovu?mbona hamas hawana afya mbovu?
hawana afya mbovu kama walivyo askari wa Hamas..utofauti ni kwamba ;idf haisema Kuna starvation kwao ila hamas wanasema hivyo ila ukiingalia Afya zao hawapishani na idf.kwani IDF wana afya mbovu?
HAMAS hawajisemei wao wanawasemea wapalestina na mateka,benja mwenyewe kasalimu amri msaada wa haraka uwafikie wewe utataka ubishi kwenye hilihawana afya mbovu kama walivyo askari wa Hamas..utofauti ni kwamba ;idf haisema Kuna starvation kwao ila hamas wanasema hivyo ila ukiingalia Afya zao hawapishani na idf.
GAZA HAKUNA NJAA.
Ingekua mimi kila siku navuta kucha moja kwa plies mpaka ziishe,nasubiri ziote tena natoa moja mojaMkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu.
Sasa watapewa chakula kipi na Nyau anazuia chakula kisiingie.
Mbona mateka wengine walikua wanatoka wanenona vizuri sababu chakula kilikuwepo.
Mzayuni akili imepiga mwamba, njia zote za kuwaondoa wagaza kwenye ardhi yao zimeshibdwa.
Aluta continua
Hamas wana mashamba hapo Gaza ama na wao utegemea chakula kinachoingizwa Gaza kama msaada?HAMAS hawajisemei wao wanawasemea wapalestina na mateka,benja mwenyewe kasalimu amri msaada wa haraka uwafikie wewe utataka ubishi kwenye hili
Nentanyahu si alisema Gaza hamna njaaView attachment 3429474
Familia ya mateka wa Israel Evyatar David anayeshikiliwa na Hamas huko Gaza imelishutumu kundi hilo kwa kumuua njaa kimakusudi kama sehemu ya kampeni ya propaganda.
Taarifa ya familia hiyo iliyoitoa siku ya jana Jumamosi Agosti 2, 2025 imejiri siku moja baada ya Hamas kutoa video ikimuonyesha Bw David aliyedhoofika kwenye handaki nyembamba ya zege. Bwana David, 24, amekuwa kifungoni tangu alipokamatwa na Hamas kwenye tamasha la muziki kusini mwa Israel mnamo tarehe 7 Oktoba 2023.
"Tunalazimika kushuhudia mtoto wetu mpendwa na kaka, Evyatar David, kwa makusudi na kwa kejeli akifa njaa katika vichuguu vya Hamas huko Gaza - mifupa hai, iliyozikwa hai," taarifa ya familia ilisema na kuitaka serikali ya Israeli na jumuiya ya ulimwengu kufanya kila linalowezekana kumwokoa Evyatar.
Katika video hiyo iliyotolewa na Hamas, Bw David anasikika akisema "Sijala kwa siku nyingi... nilipata tu maji ya kunywa" na anaonekana akichimba anachosema kuwa litakuwa kaburi lake mwenyewe.
Wakati Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ikisema kuwa, Netanyahu alizungumza na familia za Bw David na mateka mwingine, Rom Braslavski, hapo jana Jumamosi, Mjumbe wa Marekani Steve Witkoff ambaye amezuru nchini humo, alikutana na familia za baadhi ya mateka.
Wakati wa shambulio lake dhidi ya Israeli karibu miaka miwili iliyopita, Hamas ilikamata mateka 251. Bw David ni mmoja wa mateka 49 ambao Israel inasema bado wanazuiliwa huko Gaza. Hii ni pamoja na mateka 27 ambao wanaaminika kuwa wamekufa. #EastAfricaTV
Ulimwengu ungenyamaza,tuone mwisho,hao mateka ni kama wameshakufa hata wakiokolewa hawataweza kuishi muda mrefu.View attachment 3429474