Lakini inaweza kuwa vise versa, kwamba mke amechepuka na mme wa mtu (ingawa hakuna mme wa mbwa), sasa aliyenyang'anywa mme akaamua kulilipia! Dunia hii ni hatari sana!Pole sana
Elekea kwenye MAOMBI.
NA PIA
Je, umechepuka popote pale au niulize na umemchezea mwanamke ukamuumiza
Au pia kudhulumu mtu kwenye BIASHARA?
Nauliza tu kutokana na kujifunza kusoma ya humu JF ya wadau.
Angalia kijana usije ukakanyaga waya! Los Angeles wanalia mpaka leo na zero mention! Wanapambana na moto ambao hawajui chanzo chake!Ikawaje Ikawa hivyo na huyo Mungu yupo tu ?
Pole sana! Hayo ni mapepo. Tafuta Padre wa Kikatoliki atakusaidia BureHabari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Mrejesho
Wakuu nashukuru Kwa ushauri wenu mpaka sasa niseme nitaufanyia Kazi kadri nitakavyojaliwa.
Pia nimeona nianze na hii hatua ya maandalizi ya kumpeleka mgonjwa Dodoma yeye na Binti yetu pale Milembe , nitafanya huduma za hosptalini Ila pia sitoacha kumuombea kila siku.
Ikiwa unataka kuwasiliana na Mimi au Kwa chochote Ni-PM.
Pia nina kiwanja Heka moja ni kiwanja kipo katika muundo wa shamba ninakiuza ili pia kinisaidie katika hiki kipindi .
Gharama ya kiwanja ni maelewano kipo Katoro Bukoba Vijijini (Kagera)
Mungu awabariki nyote.🙏🏽
Kwamba Los Angeles ni huyo Mungu kawachoma?😆😆😆😆Angalia kijana usije ukakanyaga waya! Los Angeles wanalia mpaka leo na zero mention! Wanapambana na moto ambao hawajui chanzo chake!
Sasa kama sio jukumu lake kumpeleka sehemu sahihi huko kujitolea kumpeleka kutakuwa na maana gani wakati siku hizi waganga wamejaa kila kona wapo hadi mitandaoni.Sio Kazi Yake Jamaa Kasema Anajitolea Kumpeleka Bure Wasiwasi Wa Nini?
Ninachohofia Isije Jamaa Anataka michango Badala Ya Tiba.
Mimi na wewe hatujui na wala wao hawajui!Kwamba Los Angeles ni huyo Mungu kawachoma?😆😆😆😆
Sio lazima kuthibitisha mkuu, unamthibitishia nani na ili iweje? Mtu unaishi na watu unawaita wazazi na hujawahi kutaka uthibitishe kama wazazi wako kweli waliyo kuzaa ila maisha yanaendelea sasa huku kutaka kuthibitishiana Mungu sijui majini ndio ili iweje?Mnaongea tu uwepo wa So called mungu na shetani ila hamna uwezo wa kuthibitisha uwepo wake zaidi ya porojo tu .
Sijakuelewa.Sasa kama sio jukumu lake kumpeleka sehemu sahihi huko kujitolea kumpeleka kutakuwa na maana gani wakati siku hizi waganga wamejaa kila kona wapo hadi mitandaoni.
Sijakuelewa.Sasa kama sio jukumu lake kumpeleka sehemu sahihi huko kujitolea kumpeleka kutakuwa na maana gani wakati siku hizi waganga wamejaa kila kona wapo hadi mitandaoni.
Unaposema jambo hili ni kweli na hakika mimi binafsi nitaomba uthibitisho wa huo uhakika na kweli.Sio lazima kuthibitisha mkuu, unamthibitishia nani na ili iweje? Mtu unaishi na watu unawaita wazazi na hujawahi kutaka uthibitishe kama wazazi wako kweli waliyo kuzaa ila maisha yanaendelea sasa huku kutaka kuthibitishiana Mungu sijui majini ndio ili iweje?
Yani waganga wako wengi sana siku hizi wapo hadi mitandaoni hivyo ukiona mtu anakwambia akupeleke kwa mganga basi maana yake anamjua huyo mganga si tapeli na fundi hasa.Sijakuelewa.
Ushawahi kumuomba mtu akupe uthibitisho wa watu anaowaita kuwa ni wazazi wake waliyomzaa? Au huo uthibitisho unaudai kwa wenye kusema kuna Mungu tu?Unaposema jambo hili ni kweli na hakika mimi binafsi nitaomba uthibitisho wa huo uhakika na kweli.
Uthibitisho wa namna hiyo uombe wewe mkuu mimi naomba Uthibitisho wa uwepo wa MunguUshawahi kumuomba mtu akupe uthibitisho wa watu anaowaita kuwa ni wazazi wake waliyomzaa? Au huo uthibitisho unaudai kwa wenye kusema kuna Mungu tu?
Umesema mtu akidai jambo fulani ni kweli na uhakika unamdai uthibitisho, sasa ajabu unadai uthibitisho wa Mungu na majini tu mbona hudai uthibitisho kwa vitu vyengine ambavyo watu hudai ni kweli na uhakika ila bila uthibitisho?Uthibitisho wa namna hiyo uombe wewe mkuu mimi naomba Uthibitisho wa uwepo wa Mungu