Familia yangu Mke na Mtoto wangu Mkubwa wamepata tatizo la Akili naomba ushauri wakuu

Binafsi nahisi kuna vitu hujaviweka wazi kuhusu tatizo hilo
 
Ishi unavyotaka humu sio kanisani wala msikitini kila kitu ni ndio.
Kama ni hivyo basi nenda na jukwaa la siasa nako ukadai uthibitisho kwa madai ambayo watu huyatoa kuhusu mambo mbalimbali.
 
Kama ni hivyo basi nenda na jukwaa la siasa nako ukadai uthibitisho kwa madai ambayo watu huyatoa kuhusu mambo mbalimbali.
Huko ni kunipangia tofauti kabisa na slogani ya uhuru uliopo humu.
 
Huko ni kunipangia tofauti kabisa na slogani ya uhuru uliopo humu.
Sasa kwa nini useme kuwa humu sio kanisa wala msikiti ina maana humu hakuna uhuru wa masuala ya dini kama ilivyo kwenye nyumba za ibada ila huko kwenye mada zengine ndio kuna uhuru.

Bado sijaona mantiki ya wewe kuang'aika kutaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu, et ni haki haki yako😁😁😆
 
Kila mtu ana haki ya kuamini anachokitaka ili mradi asivunje sheria, umeamini uwepo wa Mungu humu na sio jukwaa la dini ninayo haki ya kuhoji uwepo wake bila kuvunja sheria za humu, na nina hoji hivyo ili nijue ni hakiki .
 
Hebu waulize vizuri. Alicharge yeye au kuna watu walikuwepo hapo kati kuchukua hiyo pesa. Yaweza pia kuwa walipigwa kisha jamaa wakawasogeza kwa Mwamposa..
Maombezi yale private anacharge hela..anapokea mwenyewe
 
Hayo ni maombi private sio wte wanataka kuonekana kwa ma tv
 
Pole sana ndugu yangu....
Kama unaamini Mungu ndiye mwanzo na ndiye mwisho na hakumuumba binaadamu aje ateseke hapa duniani karibu tulitaje jina la Mungu kwa pamoja na tumkabidhi jambo hili.
Ni PM ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…