UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Unaleta vitu vya kukariri tu huo uthibitisho hata haujui unafananaje hata ukigewa, umekuwa wimbo tu uthibitisho uthibitisho.Thibitisha uwepo wa Mungu achana na blabla kama hauwezi ukiakaa pembeni sio kwamba umeshindwa ni wewe haujui tu.
Ingekuwa uthibitisho ndio unafanya watu kama nyie msikubali uwepo wa Mungu basi kusingekuwa na atheists ambao wangekuja kukubali uwepo wa Mungu maana hadi leo hakuna huo uthibitisho ndio maana hadi sasa wewe bado unaimba wimbo wa uthibitisho.