zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Dkt. Gwajima D Mshana Jr Intelligent businessmanIkiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Kuku wa wizi tena mboni umefika mbali sana?Pole sana mkuu.
Pia hakikisha hununui kuku wa wizi huko vijijini.
Mshana Jr unaweza kumsaidia kitu mzee mwenzetu.
Kaianza safari moja ndefu na ngumu hivyo ni jambo linalohitaji umakini mkubwa sana, hasa kwenye kujua chanzo na asili ya tatizoKama unajua sehemu sahihi msaidie huyu ndugu yetu
Pole ndugu yangu kwa changamoto hizo.Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Eee mkuu inafaa kupeana angalizoKuku wa wizi tena mboni umefika mbali sana?
Jamaa yuko sahihi kwa 75%Kuku wa wizi tena mboni umefika mbali sana?
No never.. Uliza walioenda walichajiwa bei gani na hawakusaidikaChukua Mke na Watoto peleka Kawe kwa Mwamposa kwenye Maombi...! Usichelewe, hakuna gharama ni Bure....!
Hata kama hujui kusoma picha huoni...!?
Azingatie ushauri huu.Angalia vizuri kwenye masuala yako ya kibiashara je haujamzulumu yoyote? Haujala dhulma? Haujatumia njia za mkato kwenye biashara ? Kama hauja fanya jambo lolote Mwombe Mungu atatenda. Kama umedhulumu yoyote mtafute mrudishie ulichodhulumu.
Mungu akuonyeshe njia iliyo sahihi.
Nipo tayari mkuu wangu
Nipo Kagera Bukoba Vijijini sehemu panaitwa Katoro.Upo mkoa gani?
Hilo si jambo la kawaida, kuna nguvu za giza zimelenga kukutandika? Ulitapeli mtu kwenye kazi zako? Una maadui wale ambao unajua kabisa wanataka kukufanyia jambo fulani?Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Unaweza mpa connection ya uhakika.Huko siku hizi kumejaa matapeli na waganga njaa
Yah maybe kuku wa uwizi alinunua mwenye kuku katuma kombora.Kuwa makini na hao kuku unaonunua
Ndio ilivyoYah maybe kuku wa uwizi alinunua mwenye kuku katuma kombora.
Sio kweli.... Mimi pia Huwa naenda kwa Mwamposa Mkuu...!No never.. Uliza walioenda walichajiwa bei gani na hawakusaidika
Nyingi zimekatika nina mwaka wa pili sasa sipo hukoUnaweza mpa connection ya uhakika.
OK nashukuru kwa ushauri mkuuHilo si jambo la kawaida, kuna nguvu za giza zimelenga kukutandika? Ulitapeli mtu kwenye kazi zako? Una maadui wale ambao unajua kabisa wanataka kukufanyia jambo fulani?
Ingia kwenye maombi mazito sana, hiyo ni vita. Pole kaka