Familia yangu Mke na Mtoto wangu Mkubwa wamepata tatizo la Akili naomba ushauri wakuu

Familia yangu Mke na Mtoto wangu Mkubwa wamepata tatizo la Akili naomba ushauri wakuu

Sio kweli.... Mimi pia Huwa naenda kwa Mwamposa Mkuu...!

Mambo mengine kama Sadaka, fungu la 10 sijui kujimaliza Hiyo ni Mapenzi Yako....!

Kushiriki Ibada, kuombewa ni free Kwa Mwamposa.
OK basi sawa kikubwa asaidike na asiumizwe zaidi hasa kwenye upande wa gharama
 
Angalia vizuri kwenye masuala yako ya kibiashara je haujamzulumu yoyote? Haujala dhulma? Haujatumia njia za mkato kwenye biashara ? Kama hauja fanya jambo lolote Mwombe Mungu atatenda. Kama umedhulumu yoyote mtafute mrudishie ulichodhulumu.

Mungu akuonyeshe njia iliyo sahihi.
Hapa hapa hapa
 
Hilo si jambo la kawaida, kuna nguvu za giza zimelenga kukutandika? Ulitapeli mtu kwenye kazi zako? Una maadui wale ambao unajua kabisa wanataka kukufanyia jambo fulani?

Ingia kwenye maombi mazito sana, hiyo ni vita. Pole kaka
Kuhusu utapeli hapana
Maadui ndo sijajua Ila Mimi naishi tu vizuri na Watu.
 
Angalia vizuri kwenye masuala yako ya kibiashara je haujamzulumu yoyote? Haujala dhulma? Haujatumia njia za mkato kwenye biashara ? Kama hauja fanya jambo lolote Mwombe Mungu atatenda. Kama umedhulumu yoyote mtafute mrudishie ulichodhulumu.

Mungu akuonyeshe njia iliyo sahihi.
Magonjwa ya akili yapo kwenye familia nyingi na ni ya kurithi. Naona watu mnakimbilia uchawi.
 
Unaishi wapi? kipato chako kikoje kulinganisha na wanao kuzunguka?
Umesema unasafirisafiri, Mke wako Hana ugomvi na majirani? au wewe mwenyewe huna ugomvi na majirani?.

Kwenye biashara zako hakuna uliyewahi kumdhurumu akasema hewala.

Anza kujitafakari kwanza na mazingira yako, inaweza kuwa Africa science.
 
Mwamposa ni Tapeli kama walivyo matapeli wengine Tu. Take it or leave it....
Sio kweli,

Anachokifanya Mwamposa ni kuinua au kuamsha imani yako ambayo ndiyo inakuponya. Sio yeye anayekuponya na ukifuatilia ibada zake utagundua hilo.

Ukienda bila imani, utarudi na changamoto zako. Sasa nani tapeli hapo kati ya wewe na Mwamposa.
 
Pole sana Mkuu, naona wakati mwingine hayo mambo ya kurithiri!

kuna mama mtu mzima hazimo zote kama zinayumba, mtoto wake wakiume nae hvyo hvyo mpk kumpeleka sober house ila haisaidi
 
Sio kweli,

Anachokifanya Mwamposa ni kuinua au kuamsha imani yako ambayo ndiyo inakuponya. Sio yeye anayekuponya na ukifuatilia ibada zake utagundua hilo.

Ukienda bila imani, utarudi na changamoto zako. Sasa nani tapeli hapo kati ya wewe na Mwamposa.
Wewe na Mwamposa wote ni matapeli. Period
 
Sio kweli,

Anachokifanya Mwamposa ni kuinua au kuamsha imani yako ambayo ndiyo inakuponya. Sio yeye anayekuponya na ukifuatilia ibada zake utagundua hilo.

Ukienda bila imani, utarudi na changamoto zako. Sasa nani tapeli hapo kati ya wewe na Mwamposa.
Ila watu wakiambiwa waende kwa manyaunyau hutawasikia wakisema ni tapeli, lakini Mwamposa wanatokwa hadi na mapovu.
 
Back
Top Bottom