Pole kwa changamoto mkuu, kikubwa kuwa makini usipoteze zaidi, hilo kombora lengo ni kukuacha ukiwa masikini.Kuhusu utapeli hapana
Maadui ndo sijajua Ila Mimi naishi tu vizuri na Watu.
Mbona mnaamini sana ushirikina na uchawi?Pole.
Hii ni hatari
Pengine uligusa vya watu huko kwenye biashara.
Disaster, sasa wahi kwenye maombi pia isije kukuta wewe pia
Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Si maanishi uchawi , kabla hata ya kujua ni kurithi au la lazima ukague njia zako. Ukimdhulumu mtu hana haja ya kukuloga ili mambo yako yaende isivyo. Akimwomba Mungu tu inatosha.Magonjwa ya akili yapo kwenye familia nyingi na ni ya kurithi. Naona watu mnakimbilia uchawi.
Ajabu sana.Ila watu wakiambiwa waende kwa manyaunyau hutawasikia wakisema ni tapeli, lakini Mwamposa wanatokwa hadi na mapovu.
Mawazo yako, una uhuru wa kuwaza chochoteWewe na Mwamposa wote ni matapeli. Period

Pole sana japo waswahili wanasema mkono mtupu haulambwi.Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Pole sana mkuuHabari wanaJF .

Pole sanaHabari wanaJF .

Mwamposa ni TAPELI kama MATAPELI mengine tuChukua Mke na Watoto peleka Kawe kwa Mwamposa kwenye Maombi...! Usichelewe, hakuna gharama ni Bure....!
Hata kama hujui kusoma picha huoni...!?
Katoro hapo kuna masheikh wachawi sana,kwa ufupi mkia wa kageta umejaa washirikina na walozi sanaNipo Kagera Bukoba Vijijini sehemu panaitwa Katoro.
Pole sana, wapeleke kwenye maombi kama una imani hiyo au kwa mganga kama unaimani hiyo, ila chunga matapeli maana hata hapa JF kuna waganga na unakuta mganga anaweza kuchat vizuri kabisa, huyo ni tapeliHabari wanaJF .