Familia yangu Mke na Mtoto wangu Mkubwa wamepata tatizo la Akili naomba ushauri wakuu

Sio Outcome za HIV kweli? Mkuu hebu Pima maana unaweza kuta walikuwa wanapiga dawa kwa siri.
 

Tafuta Kanisa wapeleke wakaombewe, fedha na Mali hatuna Sababu ya kukupa maana huo sio ugonjwa wa unakompeleka, tulichonacho ni kwamba mpeleke akaombewe!
 
Nenda kwa mtumishivwa Mungu Nabii Clear Malisa uubbungo riverside wataonbewa na watapona amini katika Yesu
 
Pole sana mkuu! Weka namba ili kwa atakayeweza na kuguswa afanye jambo!
 
Kaka yangu kwanza nikupe pole,kwa kuanza mwaka vbaya, pia mwenyez mungu ndio muumba wa vyote, shida zote yeye anazijua, naomba nikushauli kitu,kule Tanga, kuna kijiji kimoja kuna dokta, yeye kwasasa ni mstaafu uwa anashulika na changamoto kama izi, na wengi wamefanikiwa, naomba unichek0655556426,
 
Imani ipi mkuu? Hapo pazito kidogo ukifikiria wanaenda watu wa imani tofauti na yeye.
 
Asante sana .
 
Nakupigia mkuu
 
Mwamini Mungu
Sasa kama ni kumuamini Mungu kwa nini hadi uende kwa Mwamposa wakati Mungu yupo tu popote mkuu? Mimi nachokiona hiyo imani yao watu yenye kuwapona wameigemezea kwa Mwamposa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…